Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mungu amekujibu sala zako mkuuUsiku wa leo unaweza kuwa mzuri kwenye top four run yetu..
✓Crystal Palace vs Chelsea
✓Arsenal vs Leicester City
Au mkaongeza gap ili mbakie huko huko kwenye futuhiLeo naimani tutapata gap la kumsogelea mtu kama sio kumpita au kumfikia. Naamini hivyo
Pogba ni striker?Kacheza mechi 11 kashindwa kufunga hata goli moja,unataka acheze mechi ngapi ndio afunge.
Grealish atakuja kucheza namba ngapi pale?James Cooper anasema Sancho na Grealish ni wachezaji muhimu sana Man Utd inapaswa kuwasajiri japo timu ipo ktk form
Kazi ipoView attachment 1500289
Anaweza kucheza kama Attacking mid na pia kwenye wingGrealish atakuja kucheza namba ngapi pale?
Backup ya Bruno #10Grealish atakuja kucheza namba ngapi pale?
Magwaya ni straika?Pogba ni striker?
Umeona matokeo. Villa tukimla inabaki 1 kwa Leicester na 2 kwa Chelsea. Yaani hapo lazima mmoja atupishe tu wakikomaa Leicester mwenyewe tunampiga kwake ili atupishe.Au mkaongeza gap ili mbakie huko huko kwenye futuhi
Hatukutani tena kwenye EPL wacha kuota. Mechi zetu nne za mwisho ni dhidi ya Shifield United, Norwich, Liverpool na WolvesUmeona matokeo. Villa tukimla inabaki 1 kwa Leicester na 2 kwa Chelsea. Yaani hapo lazima mmoja atupishe tu wakikomaa Leicester mwenyewe tunampiga kwake ili atupishe.
Manchester United amebakiza hizi games:Hatukutani tena kwenye EPL wacha kuota. Mechi zetu nne za mwisho ni dhidi ya Shifield United, Norwich, Liverpool na Wolves
Mechi yenu ya mwisho na LFC mkimshinda mnamtoa yeye kwenye top 4, kazeni buti, pambaneni na hali zenu, sisi hao wote waliobaki tutawafunga na hivyo hatutafuatilia matokeo yenu
Mechi 3 za mwisho lazima moja mtafungwa na nyingine draw, point 4 lazima zidondoke, weka kumbukumbu hii messageManchester United amebakiza hizi games:
Aston Villa,
Cristal Palace,
Leicester,
Southampton na West Ham.
Kwanini unasema LAZIMA?Mechi 3 za mwisho lazima moja mtafungwa na nyingine draw, point 4 lazima zidondoke, weka kumbukumbu hii message
Mechi 3 za mwisho lazima moja mtafungwa na nyingine draw, point 4 lazima zidondoke, weka kumbukumbu hii message
1. Tuna Europa ligiMechi 3 za mwisho lazima moja mtafungwa na nyingine draw, point 4 lazima zidondoke, weka kumbukumbu hii message
Mimi sijasema hamtashiriki, nilikuwa najibu hoja ya mheshimiwa anayedai Man U mtatukamata nikamjibu labda LFC sio Chelsea1. Tuna Europa ligi
2. Kuna CAS
3.Kuna Top four finish
Tuna njia 3 za kushiriki UCL next season
Digidigi mmoja bumbuli huko anaota tukose, ndoto
Tofaut yako na Sisi ni Point 2 tu, just 2.. na huna consistency , muda wowote una drop point, tofaut na Man UTD, tuko na consistency nzuri mnoMimi sijasema hamtashiriki, nilikuwa najibu hoja ya mheshimiwa anayedai Man U mtatukamata nikamjibu labda LFC sio Chelsea