Guevara Jr
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 302
- 816
Akifa leo tutasema alikuwa na miaka 31 Mkuu [emoji3]..AW, soko la DMs ni gumu kidogo, tunam-nurture Mactominay awe mrithi wake asiboharibikiwa.....With due respect, Matic deserves the contract aki-flop tunamuuza sio kuondoka bure[emoji3] simple like that MkuuMkuu he is going to be 32 at August 1, sijajua hapo tunabishania nini
After 30 years, hata huyo Carrick alikuwa anapigwa mwaka mmoja mmoja ikizidi sana 2
Hata Matic kama kiwango kinaruhusu, apewe hadi akiwa na 40 (kama Gigs) lakini kwa mwaka mwaka hiyo ndio point yangu
Halafu sio kwa kuwa Carrick alicheza kwa kiwango cha juu hadi akiwa na 36 basi kila mchezaji inawezekana (hata Carrick mwaka wa mwisho hakucheza kiivyo)
ingelipendeza kama wangelimpa mkataba wa miaka 2 wenye kipengele cha kumuongezea mwaka 1 kama walivyofanya kwa juan mata...Nemanja hadi 2023 [emoji848]
Mkataba mrefu sana kwa umri wake
Akifa leo tutasema alikuwa na miaka 31 Mkuu [emoji3]..AW, soko la DMs ni gumu kidogo, tunam-nurture Mactominay awe mrithi wake asiboharibikiwa.....With due respect, Matic deserves the contract aki-flop tunamuuza sio kuondoka bure[emoji3] simple like that Mkuu
[emoji122][emoji122] nimekupata vyema Mkuu.....Tuliombee mema chama letu walau nasie tuanze tembea tena vifua mbele ka bata mzinga[emoji16]Mkuu unadhani mimi napiga kupewa mkataba? Anastajili sana tu, anatubeba sana tu... But 3 years [emoji849]
Kweli ni wachache sana DM ni wachache sana
Mimi namuona Garner na Levit kama more DM watarajiwa kuliko Scoty, Scoty is more Box to Box
ingelipendeza kama wangelimpa mkataba wa miaka 2 wenye kipengele cha kumuongezea mwaka 1 kama walivyofanya kwa juan mata...
========================
kupewa kwake mkataba wa muda mrefu haimaanishi ya kwamba atakuwa ni mchezaji wa uhakika wa kikosi cha kwanza bali performance yake ndiyo itakayoamua mustakabali wake kama ilivyo hivi sasa (mwanzoni mwa msimu muda mwingi aliutumia benchi), ina maana ikiwa klabu itachoshwa na uwepo wake wana uwezo wa kumruhusu aondoke huku klabu ikitengeneza faida ya mauzo yake kama ilivyokuwa kwa ashley young tofauti na kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Management imezungumzia ishu ya experience aliyonayo na heshima kwa young playerskwa tafsiri ya haraka ni kwamba klabu haipo tayari kwa sasa kuingia sokoni kwa lengo la kutafuta midfield mwenye sifa yake (tetesi za ndidi, partey na wengineo zimezimwa rasmi) ila wataendelea kuwatumia hawa waliopo (fred na scott) huku wakiendelea kuyafuatilia maendeleo ya kisoka kwa wachezaji vijana waliopo klabuni (garner na levitt).
cha umuhimu ni kuomba mzee matic aendelee kucheza kwa nidhamu hii aionyeshayo majira haya ya 2020, huenda atakuwa ndiye michael carrick wetu.
=================
halafu hii ishu ya kuextends mkataba mpya kwa mchezaji asiye na impact kubwa sana uwanjani nayo ni kama kamari, nakumbuka katikati ya msimu uongozi wa klabu ulimshinikiza ashley young asaini kandarasi mpya huku mashabiki wengi tukichukizwa na uamuzi huo bahati nzuri sana ashley young alisoma alama za nyakati na hatimaye akaamua kuondoka mwezi January.
rejea ishu ya fellaini, alipewa kandarasi mpya kwa sababu ya shinikizo la mwalimu lakini tulipofanya mabadiliko ya benchi la ufundi tukapata bahati ya kumuuza kwa hela nzuri...
kwa sasa tumecheza kamari kwa marcos rojo na phil jones, wote hawa tumewapa mkataba wa muda mrefu huku mustakabali wao ukiwa haujulikani (mpaka sasa hakuna timu zilizoonyesha nia za kuwahitaji)
nadhani ndio maana baadhi ya mashabiki wana wasiwasi na hii dhana ya kutoa mkataba wa muda mrefu kwa wachezaji waliovuka peak ya ubora wao
[emoji122][emoji122] nimekupata vyema Mkuu.....Tuliombee mema chama letu walau nasie tuanze tembea tena vifua mbele ka bata mzinga[emoji16]
yes, hiyo ndio kazi yetu inayotukutananisha humu ndani japokuwa wapo wengineo huchukizwa na kazi hii kama alivyofanya mmoja wapo hapo juu....Ngoja tuone nini kinakuja mbeleni, sisi huku chini wapigania uhuru tunaishia kujadili tu
yes, hiyo ndio kazi yetu inayotukutananisha humu ndani japokuwa wapo wengineo huchukizwa na kazi hii kama alivyofanya mmoja wapo hapo juu....
sijui leo amepatwa na jambo gani bwana fortaleza, hii si kawaida yake (ni mpenzi mzuri sana wa mijadala ya soka)
panapo majadiliano ndipo pazaliwapo uhuru na heshima
View attachment 1499028
Poa tu kwa performance aliyoinyesha tangu January mpaka sasa anastahili mkataba wa miaka miwili hiyo.Nemanja hadi 2023 [emoji848]
Mkataba mrefu sana kwa umri wake
Panya mkeoNyie panya vipi
Vipi huyu!?Kacheza mechi 11 kashindwa kufunga hata goli moja,unataka acheze mechi ngapi ndio afunge [emoji3].
Akikupa jibu nitag mkuu.Vipi huyu!? View attachment 1499232
Vipi huyu!? View attachment 1499232
Eti "false box to box deep striker"..[emoji23][emoji23][emoji23]Vipi huyu!? View attachment 1499232
nimecheka hapo gingerpressing double pivot......Eti "false box to box deep striker"..[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hawahawa wanaocheka Pogba kutokufunga wakati striker wao ana ukame wa kufa mtunimecheka hapo gingerpressing double pivot......
hahahahhaaaaa watu na maneno yao ya kuudhi
[emoji1787][emoji1787] Maelezo ya kutushawishi kumkubali japo hafungi
Akikupa jibu nitag mkuu.
Haha[emoji3]Eti "false box to box deep striker"..[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa unapenda jukwaa japo hauipendi United. United fans tupo hv and thats what makes United a great team man.Mkuu wewe endelea kukazakaza piga porojo zote utapata huku JF hiyo nafasi ya 3, kule EPL zina wenyewe babalao.