That was definately a penalt...bt then again its Manchester united.
Hili kombe la 20 ni maalum kwa Robin Van Persie
yap.tena hata jezi yake ni namba 20,ni vema na haki akapokea kombe yeye
Acha na yeye asafishe nyota ya kuchukua makombe, ni aibu watoto wadogo kina rafael, welbeck wanamedali kibao wakati watu wazima hawana.