Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
lol! mbona mapema hivi BelindaJacob!? Pole sana ila usisahau kula kabla ya kulala.
Tatizo kubwa la man utd ni LUCK OF CONCENTRATION
Acha tu besti...Chelsi walitakiwa kushinda leo..!! roho ilikuwa juu juu kama mshabiki wa Arsenal🙂) ha ha
BJ ulikuwa umeanza vizuri alafu mwishoni ukaharibu. Aaargh 😡
kuhusu rafu ya Ferdinand, kwa Torres..je inawezekana kwamba mwamuzi/waamuzi wa pembeni hakuona?