Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu wewe endelea kukazakaza piga porojo zote utapata huku JF hiyo nafasi ya 3, kule EPL zina wenyewe babalao.
 
Mkuu wewe endelea kukazakaza piga porojo zote utapata huku JF hiyo nafasi ya 3, kule EPL zina wenyewe babalao.
Mkuu hujawazoea tu? Wakishashinda tu mechi tuwili tutatu wanajisahau kabisa na vile ole keshawajulia basi anawaendesha anavyotaka..

Ingekuwa liverpool ajabeba ubingwa wangeanza piga hesabu za ubingwa..hahaha angalia saiv wanapiga esabu za nafasi ya tatu utadhani mpira wanacheza wao tu ..

Enewei Hili timu na mashabiki zake wanajijua wenyewe..
 
Naona ulivyopanik, relax mkuu huu mchezo hauhitaji hasira.

Wewe endelea kushikilia hiyo nafasi ya nne sisi tunataka nafasi ya tatu. Tusipoipata kupitia timu zingine tutaipata kupitia kwa Leceister.

We endelea kubaki hapo uswahilini sisi hatupahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…