FA Cup MANU na Chelsea ndiyo inaanza sasa, labda MANU leo wanaweza kujiliwaza kutokana na kipigo toka kwa Real Madrid March 5, 2013.
FA Cup MANU na Chelsea ndiyo inaanza sasa, labda MANU leo wanaweza kujiliwaza kutokana na kipigo toka kwa Real Madrid March 5, 2013.
wamezoea marefa wa kuchonga.
sheria mpya inakuja marefa watapangwa rotation ya mwaka mzima.
Jamaa wana stress hasa fergerson lazima wafungwe!
Naona wamekoswakoswa hapa!
Naamini bado unaangalia game.
2-0 to United
Naona leo mmepewa magoli mnapiga kelele! Hivi haya magoli kwanini siku ya mechi na madrid hayakuingia? Where were you?
Chifu, kama hayo ndiyo mawazo yako, basi hufahamu chochote juu ya soka.
Magoli ya kupewa hayo? Au ndio umeamua kutoa shombo la mdomo wako?
Tuliza kitenesi hicho.
Siku zote nipo, tufungwe, tushinde ama tutoe droo, siku zote naishangilia Manchester United.
Pheeewww!
Mkuu mimi si muumini wa matusi! kwani nini maana ya kupewa?
Mmepewa magoli na wachezaji wa chelsea!
Pole na lugha mbaya.
Kwa hiyo tunapewa magoli na kubebwa na wachezaji wa Chelsea sio?
Worry out! We uoni chelsea wameona wamuokoe babu!