Ndugu zangu msaada tafadhali niko kichakani natamani kuicheki hii gem, Yeyote mwenye link yakuweza kuiona hii gem atupie na mimi nijumuike kuicheki timu yetu.
heshima wanayo ila kiburi tu kinawasumbua hahaha wakatizame History ch hawana jipya humu tehteheh. LFC Bingwa YNWA!!!!! mbio zao ni na Sheffield U,Wolves wakitizama Chelsea wanawakimbia hahahahahah!!!