Hii ya Ansu fati nahisi ni uongo wa media au agent,
Haiwezekani united wakatae kulipa 100, kwa Sancho, anaecheza left na right wing, pia na AM.
Halafu wakatoe 100 hiyo kwa dogo wa 17 years, ambae hajacheza hata msimu mzima . na anapendelea kicheza left wing.