Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Je akicheza mfumo wa 4 - 1 - 2 - 1 - 2 ( 4 4 2 ) matic anacheza mbele ya defence, afu pogba anacheza kushoto kwenye mid, Fred / Tominay upande wa kulia wa mid, Bruno , na foward wawili haiwezekani ?
Itakuwa poa sana japo lazima hao defence midfielders mmoja wapo atakuwa sacrificed. Nina wasi wasi Tominay au Matic lazima akae benchi
 
Je akicheza mfumo wa 4 - 1 - 2 - 1 - 2 ( 4 4 2 ) matic anacheza mbele ya defence, afu pogba anacheza kushoto kwenye mid, Fred / Tominay upande wa kulia wa mid, Bruno , na foward wawili haiwezekani ?
Sidhani kama itawezekana kuwatumia midfielders watano kwenye mechi moja.

Anaweza akacheza 4 4 2 lakini lazima Daniel James awe sacrificed ikiwa Rashford atakuwa fit.

Hata akitaka kuwatumia 4 midfielders atalazimika kumsacrifice Daniel James na Defence midfielder mmoja.

Unless acheze kama Mourinho kwa kupaki basi hapo inawezekana kuwatumia nje na hapo two DM watakuwa benched.
 
Huyu Sanchez anatutia njaa tu, sidhani Borussia watakubali kumpokea Sanchez halafu wakatuachia Sancho. It is unlikely
Mpunga bado utatutoka tu..maana Sancho ni 100+ wakati huyu Sanchez hata timu ya kufika 20 kwa ulaya sidhani kama ipo
 
Sidhani kama itawezekana kuwatumia midfielders watano kwenye mechi moja.

Anaweza akacheza 4 4 2 lakini lazima Daniel James awe sacrificed ikiwa Rashford atakuwa fit.

Hata akitaka kuwatumia 4 midfielders atalazimika kumsacrifice Daniel James na Defence midfielder mmoja.

Unless acheze kama Mourinho kwa kupaki basi hapo inawezekana kuwatumia nje na hapo two DM watakuwa benched.
Huu ni mtihani mwingine kwa Ole..Anatakiwa acheze smart sana hapa
 
Hapa sasa ndo ujenz wa timu unaanza ukiangalia sehem ya kiungo unapata picha na ktk big games kiungo chetu kimefanya vizur sana tena sana angalau naona kuna mwanga hapo bado ushambuliz na mchezaj sampul ya sancho au neymar.
Gemu yetu vs Spurs Mourinho alikubali kazi ya Fred na Tominay..

Man City naye tulimvuruga asubuhi kweupe gemu ya 2-0 OT..

Kimsingi kiungo tupo biyeeeee kama ulivyosema
 
Kabisa mkuu kwa sasa kiungo kipo sawa bado mtu mmoja tu wakufungua njia kwa timu zinazozuia sana kama wolves vile tukimpata huyo muendelezo wake utakuwa mzur sana
 
Back
Top Bottom