Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
[emoji23][emoji23][emoji23] ni akili zako au ulanzi mkuu.Wakuu pale katikati tukipata mtu kama dany drinkwater ili pogba acheze namba kumi, timu itatisha.
Dah mbali sana kwanini isiwe hata kesho tu ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PL is back(17th June)..hivi bila mashabiki itanoga hata kidogo kweli?
Mzee bora ianze tu,by the way naona sanchez anataka kutumiwa as part of deal kwa sancho.PL is back(17th June)..hivi bila mashabiki itanoga hata kidogo kweli?
Dili likifanikiwa itakuwa poa sana..Sanchez anakula hela zetu bure tuMzee bora ianze tu,by the way naona sanchez anataka kutumiwa as part of deal kwa sancho.
Tuvumilie..two weeks tuanze kuona kama Bruno na Pogba wataiva chungu kimojaDah mbali sana kwanini isiwe hata kesho tu ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Sanchez anatutia njaa tu, sidhani Borussia watakubali kumpokea Sanchez halafu wakatuachia Sancho. It is unlikelyDili likifanikiwa itakuwa poa sana..Sanchez anakula hela zetu bure tu