Siko naye sitaki tu kubishana nayeMkuu rutashubanyuma inaonekana unafurahishwa sana na mapendekezo ya bwana nyoka makengeza kwamba Man U inapaswa kuwaleta kina benteke, Carol na Daniel Drinkwater ndio mana unampa LIKE!
Na mnavyompa like ndio anaongeza kujichetua akili!
Nimecheka duhHii hii ya Uingereza au ya mtaani kwenu huku uswahilini!!?
Duuu any ways sisi yetu furaha tu!?Tumeingia sokoni kukopa £140 mill labda tutanunua wachezaji wawili au watatu hivi!View attachment 1460858
Sent using Jamii Forums mobile app