Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Out
1. Phil Jones
2. Jesse Lingard
3. Marco's Rojo
4. Lee Grant

Inn.
1 Timo Werner/ Raul Jimenez
2.Jadon Sancho/ Jack Grealish/ James Madisso

3.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahitaji replacements za Wachezaji ambao wana zaidi ya 75% kuondoka Msimu huu
1.Rojo
2.Smalling
3.Jones
4.Mata
5.Lingard-less likely

Kumbuka pia tuna deni la striker na midfield mmoja cuz
Herrera na Fellaini waliondoka na Bruno pekee ndo amekuja ku replace.

Tunahitaji timu yenye squad depth ya kutosha

1.Rw-sancho
2.CM wawili- glearish + milko savic au ndindi/Saul
3.CB yeyote mzuri. Umtiti is for sale guys..i think is the best option..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out

1.Rojo
2.Jones
3.Lingard
4.Andreas
5.Pogba


In

1.Sancho
2.Savic/Ndidi
3.Kane/Werner/Jiminez
4.Grealish

But itakuwa ngumu kufanya sajili zote hizo in one transfer window..labda Grealish na Sancho
 
Labda alete vikombe vya chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For umtiti I don't agree with you,,, jamaa ni mzito sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juan Mata tutakuwa naye next season ataongezewa mkataba timu haitaweza kufanya usajili mkubwa kupita kiasi wakati hali ya uchumi siyo rafiki.

Kwenye CM midfield mpaka sasa tuna wachezaji wawili wa kiwango cha juu sana Pogba na Bruno kuongeza mwingine itategemea na kuondoka kwa Pogba.

Sehemu yenye mapungufu makubwa kwenye timu yetu ni Striking force na Right wing na hii ndiyo inapaswa kuwa priority ya kwanza suggestion yangu kwa upande huo ni Jadon Sancho/ Jack Grealish/ James Madisson.

Striking force tunahitaji central striker mmoja wa kiwango cha juu hasa anayeweza kutokea kulia maana tulionao ni Greenwood pekee yake ambaye yuko comfortable kutokea kulia. Suggestion yangu ni Raul Jimenez au Timo Werner japo kumpata Werner akiwa Bayern katia mkono ni jambo gumu sana but a reliable cheap option na akatupa tunachokitaka ni Raul Jimenez.

CAM napo tunahitaji kuongeza option moja hasa ukizingatia tumekuwa tukiwatumia Pogba na Bruno sometimes kama Central Attacking midfielders kama Pogba akiondoka ni vema tukamsajili Donny Von De Beek ambaye ni cheap option kuliko Sergej Millinkovic Savic, but kama tukifanikiwa kumsajili Grealish anaweza kucheza hii role pia.

Kwenye centre backs mpaka sasa timu iko stable sana sioni sababu ya kuongeza centerbacks mwingine wakati waliopo wako watano Maguire, Bailly, Tuanzebe, Lindelof na Smalling ambaye kuna uwezekano akarejea baada ya msimu kuisha. Kumsajili Samuel Umtiti ni kuongeza Marco's Rojo mwingine tu too Plumpy , too injury prone and too slow heri kumrejesha Smalling kuliko Umtiti.

Kwa vyovyote itakavyokuwa Right Wing na Central striker ndiyo maeneo yanayohitaji reinforcements ili tuweze kuwa stable kwenye attack kuliko tulivyo hivi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…