Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ligi irudi tu
Screenshot_2020-04-24-07-37-46-1432538643.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Jack Grealish mmemuona kwa mechi ngapi mpaka muone anafaa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Grealish ana tofauti ndogo sana na Hazard mkuu....ubora wa Hazard kila mmoja anaujua....Grealish ana 24 yrs, Pogba 27...kuna kila dalili Pogba hataki kusalia United tena....nadhani humjui vizuri Grealish ana uwezo wa kukaba pia.....anaweza kucheza kwenye mfumo wa viungo wa tatu akiwa upande wa kushoto nyuma ya Rashford....Rashford akiingia ndani kidogo...
 
Sijawahi kumkubali Grealish ila kwa tetesi inaonekana ndiyo Favourite signing inayofautia pale United.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ed anasema hategemei kuspend 100+ kwa msimu huu kutokana na COVID 19 impact.

Nafikiri inawezekana akaja huyo jamaa maana anaonekana ni bei chee,by the way Solskjaer ni mzuri kwenye usajili alichobakiza ni kufanya capacity development kwa aliowasajili waweze kuleta vikombe.

**Mbappe is real deal**

Hahaha kama ni winger tu huyo Grealish huenda akaja United.

Ngoja tusubiri dirisha la usajili lifunguliwe tutaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ed anasema hategemei kuspend 100+ kwa msimu huu kutokana na COVID 19 impact.

Nafikiri inawezekana akaja huyo jamaa maana anaonekana ni bei chee,by the way Solskjaer ni mzuri kwenye usajili alichobakiza ni kufanya capacity development kwa aliowasajili waweze kuleta vikombe.

**Mbappe is real deal**

Sent using Jamii Forums mobile app

Keep Paul add Grealish na world class striker kama Auba hivi tunamchukua pale Arsenal chaap tu kwa bei poa inatosha kabisa hiyo.
Offload Jones, Pereira
Next season tunakua title contenders wazuri kabisa na Aubameyang anakuja topscorer.
Wapinzani watajuta sanaaa
 
Paul simwamini tena anaweza vuruga umoja wa team.Ni sahihi sana kuwa na wachezaji wanaojitoa kwaajili ya team sio umaarufu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom