mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Kane ni complete package, endapo akitua OT ni fire, ebu angalia hapo chini tuKuna comment nimesoma nimeshangazwa kidogo, kuna watu hawaangalii takwimu za wachezaji. Nimeona watu wanasema Harry Kane ni injury prone hii kitu si kweli.
Harry ameanza kucheza rasmi Spurs kama regular player kuanzia 2014/2015 kabla ya hapo alicheza mechi 11 muda mwingi amekuwa nje kwa mkopo. Amecheza mechi 187 kati ya mechi 219 mpaka msimu huu tulioshia mechi 29 na amefunga magoli 133. Amecheza mechi nyingi kuliko mchezaji yeyote wa Manchester United ukimuondoa David Degea ndani ya misimu sita.
Sasa twende taratibu 2014/2015 - 2019/2020 mchezaji aliyecheza mechi 187 kati ya 219 na kufunga magoli 133 ni injury prone? Katika misimu yote sita ni miwili miwili tu uliopita na msimu huu amecheza mechi chini ya 30 na sehemu kubwa yeye amekuwa hapumzishwi na hana mbadala pale Spurs ndio maana amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara siku za karibuni.
Kuhusu umri, c'mon guys he's 26 years old. Hii ndio peak age kwa mchezaji yeyote yule yaani ana misimu mitano ya kucheza competitive games. Kwangu mimi sioni mshambualiaji yeyote hapa ulimwenguni aliye sokoni ambaye ni sure bet kuja kucheza Manchester United nje ya Harry, the best part chini ya moyo wake jamaa anaipenda sana Manchester United. Ni aina ya mchezaji kama Scott McTominay atakuja kucheza timu ambayo ana mahaba nayo pia.
Kuna comment nimesoma nimeshangazwa kidogo, kuna watu hawaangalii takwimu za wachezaji. Nimeona watu wanasema Harry Kane ni injury prone hii kitu si kweli.
Harry ameanza kucheza rasmi Spurs kama regular player kuanzia 2014/2015 kabla ya hapo alicheza mechi 11 muda mwingi amekuwa nje kwa mkopo. Amecheza mechi 187 kati ya mechi 219 mpaka msimu huu tulioshia mechi 29 na amefunga magoli 133. Amecheza mechi nyingi kuliko mchezaji yeyote wa Manchester United ukimuondoa David Degea ndani ya misimu sita.
Sasa twende taratibu 2014/2015 - 2019/2020 mchezaji aliyecheza mechi 187 kati ya 219 na kufunga magoli 133 ni injury prone? Katika misimu yote sita ni miwili miwili tu uliopita na msimu huu amecheza mechi chini ya 30 na sehemu kubwa yeye amekuwa hapumzishwi na hana mbadala pale Spurs ndio maana amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara siku za karibuni.
Kuhusu umri, c'mon guys he's 26 years old. Hii ndio peak age kwa mchezaji yeyote yule yaani ana misimu mitano ya kucheza competitive games. Kwangu mimi sioni mshambualiaji yeyote hapa ulimwenguni aliye sokoni ambaye ni sure bet kuja kucheza Manchester United nje ya Harry, the best part chini ya moyo wake jamaa anaipenda sana Manchester United. Ni aina ya mchezaji kama Scott McTominay atakuja kucheza timu ambayo ana mahaba nayo pia.
nadhani mkataba wake umebaki mwaka mmoja kumalizika....Alex sanchez nimekuwa namfatilia huko inter jamaa ni uchafu tu anatuaibisha man u huko italia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa mkuu tufanyaje?..tuvunje mkataba?Alex sanchez nimekuwa namfatilia huko inter jamaa ni uchafu tu anatuaibisha man u huko italia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Intermilan wanatafuta quickfix solution kwanza ndiyo waanze kutafuta mwelekeo mpya.PTER hawa Inter milan ni kweli wana dhamira ya dhati ya kupambana na Juventus kwa muda mrefu?
target zao za usajili sizielewi...
Kusema kweli Sanchez ni liability kubwa sana kwa Man United kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23] sasa mkuu tufanyaje?..tuvunje mkataba?
Jersey za Man united siku hizi kila msimu zinakuwa mbaya mbaya tu sijui kwanini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hivyo na wao wameamua kutumia njia ile ile waliyoitumia juventus ya kusajili wachezaji waliokwisha thibitisha ubora wao huko wanakotoka, wasi wasi wangu upo kwenye umri wa wachezaji husika wanaosajiliwa na wanaovumishiwa kuwahitaji kama vile olivier giroud, sidhani kama watadumu kwa muda mrefu kwenye soka la ushindani kwa kuangalia viwango vyao (ashley young, victor moses, diego godin, asamoah).Nadhani Intermilan wanatafuta quickfix solution kwanza ndiyo waanze kutafuta mwelekeo mpya.
Wamepotea muda mrefu sana toka kizazi chao cha kina Cambiasso, Christian Chivu, Pandev, Sneider, Milito, Lucio na wengineo kilipowapa mafanikio hawajarudi tena katika ushindani ndani ya Italy na Ulaya kwa ujumla.
Katika kipindi hicho wamejitahidi kutengeneza kikosi cha vijana na wachezaji wazoefu lakini wameshindwa kupambana na Juventus na walau hata AS Roma na SS Napoli wamegeuka kuwa wababe kuliko Inter.
Sasa kwa sasa wanachokifanya nikutafuta njia fupi itakayowarudisha juu ndiyo waanze kusafiri kutaka kupambana na Juventus
hapo pana ukweli ndani yake kwa sababu kabla hata ya Calciopoli (kashfa ya kupanga matokeo msimu wa 2005/2006) tayari juventus walishakuwa vinara wa ligi ya Italy, kutoka mwaka 1995/96 walifanikiwa kubeba ubingwa mara 6, milan mara 3 na lazio mara 1.Jambo jingine Inter Milan hawana financial muscles kama aliyonayo Juventus hivyo wanalazimika kufanya kila linalowezekana kudhibiti matumizi makubwa ya fedha ambayo hawana wakati huo huo wakiupa muda nafasi ya kuamua hatima yao.
Corona imekusaidia kuendelea kurandaranda JF.
Beppe Marotta now yupo Inter Milan baada ya Juventus kurudi serie A combination ya Conte+Marotta,Nedved & Paratici ndio wali-engineer mafanikio yao currently hao 2 wako Inter,ligi ya Italy haiitaji sana young players ndio ufanikiwe ndio maana mpaka leo still backbone ya Juve inawategemea Chielini,Bonucci,CR7,Matuidi,Cuadrado,Khedira ,CR7 while young players like Bernadeshi,De Legt,Emre Can,Rabiot bado wana-struggle miaka ya karibuni Inter walikuwa na many good young players (Icardi,Brozovic,Skirniar,Lautaro,De Vrij) na majority hawajawahi kushinda chochote na recently hawajawahi kuwa na winner manager like Conte unlike Juventus ambao wanasajili winners (Matuidi,CR7,Costa,Rabiot,Ramsey) na ukiangalia tofauti ya benchi la Juventus na Inter ni kubwa currently Inter target at least kupata nafasi ya kucheza champions league ambapo since Mourinho era walipotea kabisakwa hivyo na wao wameamua kutumia njia ile ile waliyoitumia juventus ya kusajili wachezaji waliokwisha thibitisha ubora wao huko wanakotoka, wasi wasi wangu upo kwenye umri wa wachezaji husika wanaosajiliwa na wanaovumishiwa kuwahitaji kama vile olivier giroud, sidhani kama watadumu kwa muda mrefu kwenye soka la ushindani kwa kuangalia viwango vyao (ashley young, victor moses, diego godin, asamoah).
hapo pana ukweli ndani yake kwa sababu kabla hata ya Calcicopoli (kashfa ya kupanga matokeo msimu wa 2005/2006) tayari juventus walishakuwa vinara wa ligi ya Italy, kutoka mwaka 1995/96 walifanikiwa kubeba ubingwa mara 6, milan mara 3 na lazio mara 1.
ina maana kurudi kwao kwenye ligi ya serie A baada ya kushushwa daraja walikuja tu kuendeleza moto wao uliozoeleka tokea zamani.
Kama Inter Milan wanahitaji kupambana na Juventus basi njia pekee itakayowasaidia ni kujikusanyia pato kubwa litakalotokana na operation zinazofanyika ndani ya klabu (mapato ya uwanja, jezi, mikataba ya kibiashara, haki za televisheni n.k) lakini kama watategemea nguvu ya fedha ya mwenyekiti wa klabu basi watarudi tena nyuma kama ilivyokuwa kwa AC Milan au kama ilivyokuwa chini ya moratti (baada ya kuondoka mourinho).
nadhani conte pekee hatoshi kuiokoa Inter Milan, bali pia wanahitaji vichwa vyengine vyenye mipango madhubuti ya kuongoza mpira wa kisasa kama ilivyo kwa juventus iliojengwa na Blanc, Marotta, Paratici, Nedvěd.
nawaombea wapate mafanikio yatakayodumu kwa muda mrefu ili warudishe heshima ya SERIE A
Kwa hiyo niame timu kisa nilikua navaa jezi ya Shearer?Manchester United mko mbioni kupoteza wapenzi wenu watakaohamia Newcastle United. Wale mliokuwa mnavaa jezi za Shearer, Faustino Asprilla miaka ya 90 tunawajua.
Man u, Liverpool na Arsenal kibongo bongo ndio team zenye mashabiki loyal si kama chelsea na Man city wengi ni Glory hunters.Manchester United mko mbioni kupoteza wapenzi wenu watakaohamia Newcastle United. Wale mliokuwa mnavaa jezi za Shearer, Faustino Asprilla miaka ya 90 tunawajua.
Kumbe ulikuwa mmoja wao. Tutakuona ukifungua group la Newcastle United or the other UNITED hapa.Kwa hiyo niame timu kisa nilikua navaa jezi ya Shearer?
Kama nilinunuliwa na baba je?
Sent using Jamii Forums mobile app