Man United vs Real Madrid Ronaldo aliwafunga United robo finally UEFA Champions League.
Kocha wa Man United alikuwa Sir Alex Ferguson Madrid alikuwa Jose Mourinho.
Mwamuzi wa mechi hii alikuwa Cuynet Cakir.
Madrid alifunga magoli yake baada ya Luis Nani kutolewa kwa red card ya hovyo kabisa kuwahi kutokea kwa kumchezea Faulo Alvaro Albeloa.
Real Madrid wakawa knocked out kwenye Semi final na Borussia Dortmund.
Ronaldo hakushangilia lile goli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namuona ni mtu aliyekuwa hana loyalty kwa ile timu. Alipotufunga akiwa Madrid hakushangilia nadhani alifanya vile kwa kuwa alijua hafahamu kesho yake, ila alipotufunga akiwa Juventus naamini alishangilia sana kwa sababu ashajua uwezekano wa kesho yake kuwa Man U ni kama Mdogo au hakuna.
Kweli toka aondoke ot hajawahi kanyaga tena kutazama hata mechi ya kirafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
... maana alikuwa anaionyesha dunia kuwa utd si kitu mbele ya madrid.
Inategemeana na wakati.Mtazamo wako ukoje kuhusu nani zaidi kati ya hizi timu mbili?
Inategemeana na wakati.
Kwa miaka mingi sana tumekuwa tukimpumulia madrid kwenye suala la mapato.
Na kwa upande wa mafanikio ya uwanjani united ilikuwa juu ya madrid kipindi cr7 anaelekea kule,
Madrid alisotea champions league kama liverpool na epl tu.
Rejea records zako bosi.
Au uniambie kuanzia kipindi hiki mpaka hiki Man Utd alikuwa juu ya Madrid, na kuanzia hapa mpaka hapa Madrid alikuwa juu.
Tangu 2008-2012 man utd ilikuwa juu ya madrid kimapato chief
Kuanzia 2008-2011 utd alikuwa juu ya madrid na ndicho kipindi ambacho ronaldo anakomalia kwenda madridRejea records zako bosi.
Au uniambie kuanzia kipindi hiki mpaka hiki Man Utd alikuwa juu ya Madrid, na kuanzia hapa mpaka hapa Madrid alikuwa juu.
Don Clericuzio nilikuwa najibu hoja yako kuwa kwa kuangalia kipindi ambacho ronaldo anakomalia kwenda madrid kwa kuiona ni klabu bora zaidi ya united kwa kipindi hicho kama ulivyoniuliza awali.Ni 4 years span, na vipi Madrid amekuwa juu lini mpaka lini?
Don Clericuzio nilikuwa najibu hoja yako kuwa kwa kuangalia kipindi ambacho ronaldo anakomalia kwenda madrid kwa kuiona ni klabu bora zaidi ya united kwa kipindi hicho kama ulivyoniuliza awali.
Hata hivyo 2015,2017 na 2018 united alikuwa anatawala kwa utajiri ingawa sio kipindi tunachokijadili kwa sasa.
Don hii mada ni ndefu mno maana tukimaliza kipengele hiki,tutahamia kingine.Kwa mtazamo wako, unadhani kama Ronaldo angebaki Man Utd angeweza kupata mafanikio sawa na aliyoyapata akiwa Real Madrid? Hapa nazungumzia mafanikio ya timu na mafanikio binafsi.
Kwa mtu ambaye ana mtazamo wa kuwa mchezaji bora duaniani kwa kipindi kirefu, lazima angewaza zaidi kwenda Madrid au Barca kwa sababu malengo ya hizo timu ni pamoja na kuwa on top kila wakati, hivyo zitafanya kila linalowezekana kuhakikisha zinakuwa na world class players na coaches as well. Hivyo Ronaldo aliliona hilo.
Man Utd ya 2008 ilikuwa inabebwa na philosophy za Fergie, na muda wowote ambao Fergie angestaafu Man Utd ingekuwa average team (nazungumzia kidunia in terms of performance). Na Man Utd pamoja na kuwa juu, haikuwa na utaratibu wa kusajili wachezaji wakubwa kutoka team zingine, hivyo Ronaldo aliona aende mahali ambapo atapata wasaidizi wengi kurahisisha kazi yake na kufikia malengo yake kirahisi.
Mind you, hakuna timu EPL inaweza kumnyanganya Barca au Real mchezaji wake bora, ila wao wanaweza kuja kubeba mchezaji yeyote wanayemtaka. Na hii imekuwa hivyo toka nimeanza kufatilia mpira (more than 25 years).
Sasa hapo niambie, mafanikio ya timu kifedha unayatafsiri vipi?
Ronaldo aliishi vema OT na hadi anaondoka aliendelea kupendwa, hilo alipaswa kuliheshimu,kuwaheshimu mashabiki na kuiheshimu timu. Hakuwa na haja ya kushangilia,labda kama angeondoka kwa matatizo na labda mashabiki kumtukana n.k lakini haikuwa hivyo. Huwa naamini kwamba CR hakushangilia tulipocheza na Madrid kwa sababu hizi mbili, 1. Hakuwa na uhakika na future yake mana umri ulikuwa bado, hivyo alijua professional ly lolote lingetokea mbeleni pengine kuna siku angerudi kuwa mchezaji wa Man UIli uwe Legend kwenye Timu flani unataka kusema sababu Moja wapo haitakiwi kuifunga Timu ulotoka na Ukashangilia???
Afu tukichukua Records zake CRISTIAN RONALDO Kuifunga Manchester United almost ni 2 times kushangilia 1 time kwanini Sababu moja ifute Mazuri ya mtu aloyatenda kwa kipindi kirefu tena Mazuri ya Kufurahisha Juu yetu na Team Pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Paul Scholes,Patrice Evra,Roy Keane,Evra wote walishastaafu kucheza football na wengi bado wanafukuzia kazi kwa Woodward Christiano Ronaldo alikuwa professional player Real Madrid now yupo Juventus hawezi kuanza kuizungumzia timu ambayo haijamuajiri kwa sasa lazima aheshimu mkataba alio naoTrue legends ni wale ambao hata baada ya maisha yao ya soka bado wapo connected na sisi..Huyu Ronaldo IMO sio our true legend..Paul Scholes,Roy Keane,Ferdinand,Evra n.k hawa ndo wamba ambao ukisema ni malegend atleast una make sense..
Huu ni mtazamo wangu
Ronaldo aliishi vema OT na hadi anaondoka aliendelea kupendwa, hilo alipaswa kuliheshimu,kuwaheshimu mashabiki na kuiheshimu timu. Hakuwa na haja ya kushangilia,labda kama angeondoka kwa matatizo na labda mashabiki kumtukana n.k lakini haikuwa hivyo. Huwa naamini kwamba CR hakushangilia tulipocheza na Madrid kwa sababu hizi mbili, 1. Hakuwa na uhakika na future yake mana umri ulikuwa bado, hivyo alijua professional ly lolote lingetokea mbeleni pengine kuna siku angerudi kuwa mchezaji wa Man U
2. Ronaldo anamheshimu sana Fergie na si Man U
Na huwa naamini alishangilia akiwa Juve kwa sababu alijua uwezekano wa kucheza tena Man U ni Mdogo sana au haupo mana umri ushakuwa jioni. Hivyo hii inaonyesha wazi kwamba kati ya C. Ronaldo na washabiki wa Man U kuna upendo wa kinafiki ambapo upande mmoja washabiki wanampenda CR kwa kuamini anawapenda na kuipenda timu yao ilihali CR yeye anajua Man U alipita tu,destination yake ilikuwa R. Madrid na upendo Mkubwa upo huko
Nakupa list ya baadhi ya wachezaji/makocha ni legends kwenye klabu zaidi ya mojaHata Evra alihama akaenda Juve,Hata Rooney alihama akarudi Evertoon..
Hili ni swala subjective..kila mtu abaki na anachokiamini
Mimi naamini Legend akitajwa,jina la klabu moja linajitokeza automatically
i.e Ukisema Lampard-Watu wataiona Chelsea
Ukisema Gerald-Watu wataiona Liverpool
Ukisema Drogba-Watu wataiona Chelsea
Ukisema Company-Watu wataiona Man.City
Ukisema Giggs-Watu wataiona United
Hivyo ndo inavyopaswa iwe in my opinion
Nimesema ninachokiamini mimi..Nakupa list ya baadhi ya wachezaji/makocha ni legends kwenye klabu zaidi ya moja
Edwin Van der Sar-Ajax,Manchester United
Marco Van Basten -Ajax,AC Milan
Dennis Bergkamp-Ajax,Arsenal
Frank Rijkaard-Ajax ,AC Milan
Ronaldo de Lima-Barcelona,Inter Milan
Zinedine Zidane-Juventus,Real Madrid
Jose Mourinho-FC Porto,Chelsea
Johan Cruyff-Ajax,Barcelona
Jurgen Klopp-Dortmund,Liverpool
Basi mimi ninachoamini ni kwamba CR alikitenganisha hiki kitu Man U na mtu Sir Alex Ferguson! Na inawezekana kabisa mtu akamheshimu Ferg na asiiheshimu timu. Na ninachoamini CR asingeshangilia kamwe goli la kuifunga United kama timu ingekuwa chini ya Fergie na yote hiyo nini kwa sababu anamheshimu zaidi.Huwezi kuitengenisha Manchester United na Sir Alex Ferguson ,SAF ameplay part kubwa sana kwenye mafanikio ya Manchester United ndio maana baada ya kustaafu timu inazidi kupotea