OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hahaha wakati unaandika yaonyesha ulikuwa na njaa sana ..sasa nem tulia tena afu soma ulichoandika..Imetufanya tuanze kufikiria usajili tu badala ya kumtoa chelsea pale top four.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mukishashindaga gemu mbili, tatu munaanzaga andika ujinga kama huu..Mechi za Chelsea 90% zote ni tight
Pia, ana Leicester, Cristal Palace, Sheffield, Watford, Wolves
Akikaa vibaya atamaliza namba 7, nyuma ya Sheffield na Wolves
Tuombe uzima tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mukishashindaga gemu mbili, tatu munaanzaga andika ujinga kama huu..
Hahaha hahaha ...
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha izo game zilizobaki zote sioni wa kutuzuia mkuu. Man city hana cha kupoteza kwa sasa anaiwaza uefa tu, Liver atakuwa ashatangaza ubingwa ivyo hatakaza sana. Izo takataka nyingine zilizobaki hakuna atakayetoka salama.Yaani kwa kuwa hamna mechi nyingine na Man Utd, basi waliobaki wote mnaona kama mtawafunga
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha izo game zilizobaki zote sioni wa kutuzuia mkuu. Man city hana cha kupoteza kwa sasa anaiwaza uefa tu, Liver atakuwa ashatangaza ubingwa ivyo hatakaza sana. Izo takataka nyingine zilizobaki hakuna atakayetoka salama.
wewe Man U nakusubiri FA uwezo wa kukupiga ninao, Lampard hafungwi mara mbili na underdog kama nyie..
CFC
Hiv kumbe 3 na 2 kubwa 2 enhee maana kumbukumbu tumewapga nje ndan nje bado kuwpga gesti tu...hahaha izo game zilizobaki zote sioni wa kutuzuia mkuu. Man city hana cha kupoteza kwa sasa anaiwaza uefa tu, Liver atakuwa ashatangaza ubingwa ivyo hatakaza sana. Izo takataka nyingine zilizobaki hakuna atakayetoka salama.
wewe Man U nakusubiri FA uwezo wa kukupiga ninao, Lampard hafungwi mara mbili na underdog kama nyie..
CFC
Sasa uyo Buruno ana nini cha Ku ofa kumzidi Pobga ..hiv kuna kiungo kna kama Paulo kweny dunia ya sasa iv?? Buruno ni kiungo wa kawaida Sema kaenda kweny timu ambayo ina viungo wabovu ivyo lazima ang'ae tu..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiingia huku uwe unaandika vema mana humu wote wako timamu. "Aina noma" ndio nini!?
Ukiingia huku uwe unaandika vema mana humu wote wako timamu. "Aina noma" ndio nini!?
United have reportedly added Real Madrid's Uruguayan midfielder Federico Valverde, 21, to their wish list as they prepare for life without Paul Pogba. (Express)
Tetesi zingine zinatamanisha
Huyo dogo ni Wa Birmingham city, kuna timu kadhaa kubwa zinamuhitaji,mfano kuna Man U, Chelsea na Dortmund zote zinamtaka na inasemekana Dortmund wao washapeleka na dau. So kilichopo ni kwamba timu hizo zinapigana vikumbo ktk kumshawishi na kwa upande Wa Man U moja ya ushawishi wao ni kumpeleka training ground akajionee training facilities na mazingira kwa ujumla. Nadhani baba yake alikuwepo pia CarlingtonKuna dogo anaitwa BELLINGHAM kaonekana viunga vya Carrington
Huyo dogo ni Wa Birmingham city, kuna timu kadhaa kubwa zinamuhitaji,mfano kuna Man U, Chelsea na Dortmund zote zinamtaka na inasemekana Dortmund wao washapeleka na dau. So kilichopo ni kwamba timu hizo zinapigana vikumbo ktk kumshawishi na kwa upande Wa Man U moja ya ushawishi wao ni kumpeleka training ground akajionee training facilities na mazingira kwa ujumla. Nadhani baba yake alikuwepo pia Carlington
Mkuu tetesi za man U kuanza negotiations na pogba zinaukweli?Wazee this shit is real..Corona is real
Tunamiss udambwi dambwi wa BF18,Utakati umeme wa Fred17,Kazi kazi ya mtu mzima HM5,Clinical finishes za M.Greenwood,Tackles zilizoenda shule za AWB39 na Usharobaro wa AM9
HawapatiIli ligi ife na liva aanze upya kufukuzia ubingwa wake wallah united hatutamuacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app