Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba anabaki na nilishawaambia mjiandae kisaikolojia kwa hilo. Unasema hujaona la maana alilowahi kufanya embu rudi kaangalie statistics zinasemaje tokea amekuja United msimu United anachukua Europa na kumaliza runners up wa premier league nani ndo alikua mchezaji bora na aliyetusaidia kama Pogba. Halafu msimu huko ndo best season tuliyowahi kupata tokea Ferguson aondoke.
#dont hate Pogboom
Hizi maneno zilizotolewa na agent wake na kaka yake ni maneno tu ambayo yalikuwepo hata kipindi cha Rooney, Tevez, RVN na hata CR7 ila Ferguson bado aliwanangania wakabaki united na wakafanya vizuri na dressing room hakuna kilichoharibika Fergie aliwatumia hao wachezaji wasumbufu ili kufanikisha malengo ya club regardless ya Tabia mbovu na maneno agents walionesha na wachezaji wenyewe.
Sometime talent inabidi uibebe na kupuuza maneno yasiyokua na maana ilikufanikisha malengo yako kama kocha na hilo naona ndo OGS anataka kufanya kwa Pogba maana hakuna kiungo Ulaya utakayempata kama Paul kwa sasa labda uende Bayern ukamchukue Thiago au KDB wa city
 
Muda utaongea mkuu nilitoa vigezo vyangu kipindi kile na nitaendelea na msimamo wangu.

Italy Bruno japo hakuwa mkali sana lakini still alikuwa mchezaji mzuri. Alikuwa anafikisha magoli+ assist 10 karibia kila msimu, as a teeneger.

Portugal huko stats zake unazijua kwa misimu kama 3

Then sasa hivi man U unamuona, sio one season wonder, ameprove kucheza vizuri misimu mingi.

Felix msimu mmoja tu ndio amecheza vizuri, hajaprove popote kwamba ni top player, ngoja tuone.
 
Ulekeo wa baloteli unamyemelea Kama hata badili attitude yake uwanjani

Sent using my Audi A6
2017 model


Attitude yake ya uwanjani ni ipi hiyo? Maana kwa Jinsi united ilivyo kabla hajaumia Pogba alikua one of the best players kwenye ligi na the best player and world class midfielder kwenye timu yetu sasa hiyo attitude unayosema abadilishe ni ipi uwanjani???
Acheni chuki he is still the best player kwenye timu yetu na bado tunamhitaji tena sana tu.
Nikuulize unauza Pogba unaleta mchezaji gani saivi sokoni? Tell me a player mwenyewe caliber ya Pogba na unaweza kuziba pengo lake saivi sokoni???? In short hakuna so chuki weka pembeni
 
Hivi pp kuna namba pale utd ambayo ametamani kucheza hakupangwa!!!? Hivi pp ukitoa TU tuchenga anatopiga bila kuwa makini hadi anapoteza mpira au anatoa pasi mbovu(kwa mtu aliye zungukwa na maadui mpira unapotea) na kukapa hanaremba hivyo kujikuta ni mtalii uwanjani, nni pp anafanya cha maana....

Labda tukubaliane kuto kukubaliana, kuwa pp kwa uchezaji wa utd hatokuja kukaa akawa na mchango wa maana labda wa gemu moja moja (hivyo awe anaanzia sub au anatolewea mapema gemu ikimgomea) kuliko kuwa na wachezaji 10 uwanjani

Otherwise mchango wake kwenye timu ni mdodo mno ki wastani kwa msimu, ukimlinganisha na KDB na E, Hazard kipindi alivyokuwapo Chelsea
Sent using my Audi A6
2017 model
 
Pogba is 65% player

De Bruyne 80-85 % player

CR7 and Leo are 95% players

Pogba is those kind of players who are overhyped and we can't tell why (may be marketing team job)

Pogba is the opposite of players like Firminho, Barca's Bosquet, Verati etc. who are fantastic players but underrated/don't get the praise they deserve

Pogba's 65% ability + his toxic attitude is equal to a disaster in our club

Pogba should go

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na umarufu wake unaenda kupolomoka mno akiachana na utd....

Uwepo wa CR7 tu kwenye ulimwengu wa habar za soka umeshuka vibaya mno, hazard naye hasikiki kabisa

Sent using my Audi A6
2017 model
 
Acha kulia lia..Sio lazima atafutwe mtu mwenye kaliba kama ya Pogba pindi atakapoondoka..Tunahitaji tu mchezaji ambaye kocha ataona anaweza kuipa timu balance nzuri na kuisaidia timu..

Lazima PP ajicommit ipasavyo,maana hata mashabiki watamtukana sana sasa hivi..Asijione yeye ndo kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…