HT:
1. Wan-Bissaka anamuaibisha sana Sterling hakuna cross wala hatari yoyote kutokea wing ya kushoto kwao.
2. Fred Matic wameua hapo katikati mipira haiwapiti na hii inasababisha De Gea asome gazeti kule golini (hana kazi) na Maguire anapanda anacheza kama kiungo wa kati muda mwingi.
3. Bruno bado, kiwango cha mechi iliyopita na hii kiko chini.