Pogba bado ni mchezaji muhimu United.Father Marshal na genge lake (Father Lingard, Father Rashford) wanaharibu ndio wanavuruga team. Hawa jamaa hawana consistency na wanachangia sana vipaji vipya vinavyokuja Old Trafford kufa.
Inabidi wasambaratishwe. Kwa kuanza na Father PogbaView attachment 1368363
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Man Utd inapitia transition period miaka yote tokea Sir Alex aondoke? imekua vigumu kwa mashabiki wa Man Utd kukubali kua timu imekua yao ipo level ya chini sawa na akina Everton.
Ukiangalia wachezaji wa United uwanjani kwa takriban miaka minne sasa; unaona kabisa timu imeshindwa kupata world class.
Moyes aliwahi kusema mnataka wachezaji gani ili ibadilishe timu? Kweli kabisa unamwacha Lukaku unamtegemea Greenwood alafu unasema unajenga timu? Sir Alex hakuwahi kupata mafanikio na watoto na wachezaji goigoi kama wachezaji wa sasa wa United.
Manchester united ni timu ya pili kwa cleansheet ulaya nyuma ya psg, imefungana na Liverpool nafasi ya 2.
Cleansheet 8 zimepatikana mechi 12 zilizopita. Nemanja Matic Effect.
Tukiwafunga Everton pia ita boost confidence ya wachezaji, maana timu ndogo nyingi zinatusumbua. Na tukivuka mtihani wa city na Spurs ratiba yetu sio ngumu sana.Next week tunacheza na Everton ni game ngumu sana kwetu.
Hatutakiwi kudondosha point kizembe tuwaondoe chelsea pale juu.
Cleansheet tutazipata sana sasa hivi kwa sababu hata De Gea ameimarika tena siyo kama alivyokuwa december.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiwafunga Everton pia ita boost confidence ya wachezaji, maana timu ndogo nyingi zinatusumbua. Na tukivuka mtihani wa city na Spurs ratiba yetu sio ngumu sana.
Ogs out!
Yaan Pogba akipunguza tu yale mapepo yake partnership yake na Bruno itakua safi sana, Inawezekana Rashford na Martial wakafunga goli nying tukasahau kutafuta striker mwengneWale mnaoombea mabaya kwa OGS taarifa yenu hii na mjiandae kisaikolojia kwa hili.
Pogba hauzwi na klabu inafanya mpango wa kimpa mkataba mpya our world class midfield Paul Pogba. Na wapinzani watambue pale EPL hakuna kiingo mkali zaidi ya Pogba zaidi ya KDB tena kidogo. So partnership ya mauaji itaanza kazi soon na itakua ni Pail na Bruno wanakichafua hapo kati tutegemee Martial kuendelea kucheka na nyavu maana hizo assist atakazopata zitakua kama zote.
OGS hawezi ondoka wala kufukuzwa maana ataleta success pale old Trafford pengine ataanza na FA na Europa msimu huu. Kuna kila dalili msimu huu lazima tuchukue kombe hatutoki kapa. So OGS in.
#Wachawi wa Paul na Ole mkalale
#GGMU
Hiz statistics ndy zinadanganya watuManchester united ni timu ya pili kwa cleansheet ulaya nyuma ya psg, imefungana na Liverpool nafasi ya 2.
Cleansheet 8 zimepatikana mechi 12 zilizopita. Nemanja Matic Effect.
kudanganya nini? kwamba hizo cleansheet hazijatokea?Hiz statistics ndy zinadanganya watu
Wale mnaoombea mabaya kwa OGS taarifa yenu hii na mjiandae kisaikolojia kwa hili.
Pogba hauzwi na klabu inafanya mpango wa kimpa mkataba mpya our world class midfield Paul Pogba. Na wapinzani watambue pale EPL hakuna kiingo mkali zaidi ya Pogba zaidi ya KDB tena kidogo. So partnership ya mauaji itaanza kazi soon na itakua ni Pail na Bruno wanakichafua hapo kati tutegemee Martial kuendelea kucheka na nyavu maana hizo assist atakazopata zitakua kama zote.
OGS hawezi ondoka wala kufukuzwa maana ataleta success pale old Trafford pengine ataanza na FA na Europa msimu huu. Kuna kila dalili msimu huu lazima tuchukue kombe hatutoki kapa. So OGS in.
#Wachawi wa Paul na Ole mkalale
#GGMU
Hata mkitupa lingard atashine. Swallow your pride, accept the fact.