I don't hate Ole, Pogba ni mpuuzi sababu ya kutoishimu badge
Kwamba sina hata nusu uwezo wa wale wanaopanga mipango ya United, may be Yes, but I'm entitled to my opinion, and I am free to think.... I'm not like you who believe people who leading United (or people who are there in Europe, in United Board are angels) I'm not bendera fuata upepo like others, I'm am free thinker, may be not like you
Hao watu unaowasifu kwamba wana uwezo mkubwa wa kufikiri na tusiwakosoe, ndio mwaka wa 6/7 huu wanaendelea kutudumbukiza shimoni. Hao watu wameifikisha leo Man Utd kufurahia Man City kupata ban ili angalau tuwe 5


, MAN UTD TOP 5,LEO TUNAOMBEA TOP 5? HII NDIO LEVEL TULIYOFIKIA UNITED.
The truth must be said, after all, naheshimu your opinions ya kumtukuza Pogba, mchezaji ambaye haheshimu badge ya United unatakaje mimi nimheshimu. Sijawahi kuwa shabiki wa mchezaji au kocha wa Man Utd, siwezi kumuweka mchezaji juu ya timu yangu, kila mchezaji wa United ninayempenda ni kwa sababu ya anapambana kwa ajili ya United, hata mchezaji mwenye uwezo wa kawaida pale United nitamheshimu ili miradi anapambana badge
Kuna mwenzako sababu ya kumpenda Pogba sana akawa anakataa kwamba Pogba hajawahi kutaka kuondoka United, eti ni uzushi wa magazeti


, wakati kila kitu kipo dhahiri. Kuondoka sio kosa, kosa ni namna yeye na wakala wake wanavyo handle kuondoka kwake, kosa ni namna alivyo poisonous influence kwenye changing room, kosa ni Ole kung'ang'ania kirusi ili kiendelee kuchafua hali ya hewa.
Narudia kusema kwamba sijawahi kumchukia OGS kama kocha, na nina muhusudu sana kama mchezaji legend. Lakini the truth must be said, viatu vya ukocha wa United ni vikubwa sana kwa Ole na ninapotaja mapungufu yake isichukuliwe kuwa namchukia.
Ukweli ni kwamba, kwa matokeo anayopata Ole, angekuwa ni Jose, Van Gaal, Moyes asingekuwepo kazini, Ole anatembelea nyota ya u legend pale United, pengine Ed anaogopa kumuondoa sababu na yeye ataonekana kilaza maana ni kocha wa 4 tangu SAF lakini timu bado inafeli
Ole apewe muda, tayari ana zaidi ya mwaka. Bora angekuwa hapati matokeo lakini uone kuna kitu anafanya, ukiambiwa hata utaje falsafa ya Ole ni ngumu kuelezea, ni kama anawaambia wachezaji mkinyang'anya adui mpira washanbuliaji wakimbie mbele halafu mabeki/viungo wawatupie mipira. Lampard, Rodgers, Negel Peaeson (Watford), Wilder (Sheffield United), Ralph (Southampton) hata Rochdale wanacheza mpira unaoeleweka, unajua kabisa hii timu inatafuta nini,lakini sio United ya Ole.
Mbadala wa Ole upo, ukitaka established names, anza na Poch (first choice) , nenda kwa Allegri.
Sent using
Jamii Forums mobile app