Pamoja na kwamba Ole si mtu sahihi pale united,Poch pia hafai kuwa mbadala wake kama tunakusudia kuishuhudia manchester bora ndani ya kipindi kifupi.
Spurs alikuwa na wachezaji world class lakini hakuwa na ushindi wa muendelezo.
Sivutiwi naye pia
Pep Guardiola kama nani akisema kitu ama kutamka mtu flani ni mzuri najifunza kutoka kwake ndio watu wote wamfuate yeye.
kwa hiyo Guardiola kumtaja Kocha Wa Sheffield United kama Mtu mwenye Farsafa safi ya mpira na anajifunza vitu kutoka kwake we umeona anafaa sana kuja kuitumikia Manchester United as a Manager???
NB:
Pep Guardiola ni binadamu na sio Mungu kwamba kila atakachokisema afuatwe ama yupo sahihi aslimia 100% maana humu nishaona Makocha ambao wakiongea kitu flani kwenye Mass Media basi watu wanatetereka wee (JURGEN KROOP na PEP GUARDIOLA) hapo unatakiwa utumie na akili yako kufikiri Pia Je, achokisema Guardiola kipo sawa Ama wewe una vision gani kuhusiana na swal hilo sio mnatuletea Maoni yaki maandaz! hapa
Kwanza nakerekaga sana kuona mnaongelea Maswala ya Kroop na Pep maana naona mnasujudu sana wanavyoviongea haya kazi kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Son ni world classUkiacha Harry Kane(player from their academy) mchezaji gani wa Spurs alikuwa World Class ?
Son ni world class
Eriksen ni world class
Lloris ni world class
Jan Vertongen ni world class
Walker alikuwa world class
Rose pia huwezi kumuaha kwenye hili kundi
Acha hizo aisee kwahyo degea pogba sio world class players pale utd ..Sidhani kama uko serious world class players hawafiki hata 20 kwenye EPL
Chelsea:Kante
United:currently hakuna
Spurs:Kane
Arsenal:Auba
City:Aguero,De Bruyne,Bernardo,Fernandinho,Sterling
Liverpool:Alisson,Trent,Van Djik,Mane,Salah,Robertson,Firmino
Tunasema mchezaji ni world class player kwa vigezo gani??Sidhani kama uko serious world class players hawafiki hata 20 kwenye EPL
Chelsea:Kante
United:currently hakuna
Spurs:Kane
Arsenal:Auba
City:Aguero,De Bruyne,Bernardo,Fernandinho,Sterling
Liverpool:Alisson,Trent,Van Djik,Mane,Salah,Robertson,Firmino
Spars pale world class ni dele Ali, son, Hugo , ndombele na sisoko ,kane wengne miyeyushoUkiacha Harry Kane(player from their academy) mchezaji gani wa Spurs alikuwa World Class ?
Mkuu nakupa kongole, juu ya imani yako kwa OLE.
Ni vitu gani vinakufanya uamini, OLE atairudisha Man U enzi za fulaha na Mataji.?
Beggars can't be choosers
Inategemeana na mitizamo yako mkuuSidhani kama uko serious world class players hawafiki hata 20 kwenye EPL
Chelsea:Kante
United:currently hakuna
Spurs:Kane
Arsenal:Auba
City:Aguero,De Bruyne,Bernardo,Fernandinho,Sterling
Liverpool:Alisson,Trent,Van Djik,Mane,Salah,Robertson,Firmino
Sidhani kama uko serious world class players hawafiki hata 20 kwenye EPL
Chelsea:Kante
United:currently hakuna
Spurs:Kane
Arsenal:Auba
City:Aguero,De Bruyne,Bernardo,Fernandinho,Sterling
Liverpool:Alisson,Trent,Van Djik,Mane,Salah,Robertson,Firmino
Acha hizo aisee kwahyo degea pogba sio world class players pale utd ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini Pogba alikuwa WC na lini ameacha kuwa WC??Pogba ,De Gea,Mata,Sanchez were world class players now they are no longer wc players
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba DANNY ROSE ambaye sshv yupo NEWCASTLE kwa mkopo nae ni WORLD CLASS!??? we jamaa ARE U SERIOUS!????¿Son ni world class
Eriksen ni world class
Lloris ni world class
Jan Vertongen ni world class
Walker alikuwa world class
Rose pia huwezi kumuaha kwenye hili kundi
2014-2016Lini Pogba alikuwa WC na lini ameacha kuwa WC??
Kwa mtazamo wako hao sio WC player ?Inategemeana na unach
Inategemeana na mitizamo yako mkuu
Kwa mtazamo wako hao sio WC player ?
To be wc players you must have consistency perfomance sio unacheza vizuri msimu mmoja then unapotea
Huu mjadala wa OGS anafaa au hafai, kwa mawazo yangu nafikiri tumuhukumu Ole baada ya msimu kuisha ndio tumfanyie comparison, mpaka sasa ktk Epl standing ana nafasi ya top4 akichanga karata zake vyema, mpaka sasa anashiriki Europa league, lolote linaweza tokeaTactically Ole siyo mbovu kama wengi tunavyotaka kuonyesha hapa mechi kubwa ndiyo hudetermine tactical brilliance ya Manager katika mechi kubwa zote this season kafungwa 2 tu zingine zote kashinda na kutoka Sare moja.
Shida kubwa ambayo imetukabili over the whole season ni Maturity ya squad yetu pamoja na kukosa creative players.
Squad depth imetuathiri sana kitu kilichotuondolea options pale tunapohitaji kufanya tactical changes.
Guardiola na Klop pamoja na profiles zao it took them a couple of seasons kutengeneza timu za ushindani leo tunataka Ole aanze kudeliver success katika kipindi kifupi wakati timu alikuta inaelekea kuoza yote ?
Bado naendelea kumpa benefit of doubt Ole mpaka pale atakapotengeneza squad yake kwa signings anayofanya ndiyo nitajua kuwa hawez.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah? hadi ndombele, Dele Ali na Sissoko ni worldclass players.Spars pale world class ni dele Ali, son, Hugo , ndombele na sisoko ,kane wengne miyeyusho