Week end hii inaisha poa sana na kesho wiki inaanza vizuri zaidi kwetu, ila itakuwa mbaya sana kwa upande wa wale waliokua wanafuatilia kama Guests ( Wacha 1 and Co.)
[h=3]Rafael[/h]Dealt with Pienaar more effectively than most fullbacks this season. Picked out a fabulous through-ball to set Van Persie away for the second.
Baada ya kufunga jana RVP ameshazifunga timu 15 za EPL zimebaki timu 4 QPR,Swansea,Norwich na Aston Villa aweke rekodi ya kuzifunga timu zote ndani ya msimu mmoja
Baada ya kufunga jana RVP ameshazifunga timu 15 za EPL zimebaki timu 4 QPR,Swansea,Norwich na Aston Villa aweke rekodi ya kuzifunga timu zote ndani ya msimu mmoja
Mkuu hawa wa jana ilikuwa ni kisasi cha kutukosesha ubingwa mwaka jana, yaani I wish tungewaarsenane kabisa..
Now tunamsubiri Mor en Yoo.,:becky::becky:
....kwakweli manzi umebarikiwa,ndiyo mana tunaimba haleluyaa'' ..ha ha!! Niliupenda hilo songi, umenifanya niusikilize leo tena.
Vp lakini presha za Arsenal umeshazizoea?
....kwakweli manzi umebarikiwa,ndiyo mana tunaimba haleluyaa'' ..ha ha!! Niliupenda hilo songi, umenifanya niusikilize leo tena.
Vp lakini presha za Arsenal umeshazizoea?