Herrera hakuuzwa mkuu, aliondoka bure. Kumuacha aondoke peke yake ilikuwa ni kosa kubwa, kutotafuta mbadala baada ya kuondoka ni kosa kubwa sanaHerrera aliuzwa wakati alikuwa key player kwenye 4-3-3. Na hakuletwa mchezaji wa kumreplace Ander. Hiyo ni akili au matope?
Hata mashabiki waliona upungufu wa timu wakati tunaanza msimu. Kikosi kilikuwa chembamba sana. Kwanini kocha alikuwa comfortable wakati ule? Na wengi wakasema, ikiwa tukapata majeruhi tutatafutana humu. Na kweli tukapata majeruhi.
Wachezaji kupunguza morali baada ya kocha kupewa mkataba ni kosa la nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother, Wolves, Arsenal na Everton sio timu kali kama tunavuojaribu kujifikirisha.
Ni kwamba standards za United zimeshuka sana. Almost kila kocha alikuwa anaifunga timu ndogo kama Arsenal. Why now?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pre season tayari Herrera ameondoka, na kama ulivyosema ndio kocha anatumia mfumo kutokana na wachezaji alionao.
Pia nikukumbushe fred hajawahi kuwa na wenzake wote akiwa fit msimu huu, alienda kuoa pre season na mpaka ana regain fitness na kurudi kikosi cha kwanza tayari pogba na matic ni majeruhi, akakaa 2 man midfield na Mc tominay.
Na tunatumia sana 4-4-2 ama 3-5-2 kwenye mechi kubwa tunazoshinda kwa counter hivyo hii pia ni mifumo yetu tunayofanya nayo vizuri. 4-3-3 inatusaidia kutoboa low block timu zinazopaki basi.
Kwanini 4-2-3-1 inakataa na 4-3-3 ikubali? Jibu ni rahisi hatuna no 10 ya maana kwenye 2-3-1 wakati 3-3 yenyewe haitumii no 10 bali creativity inatoka kwa hizi midfield za pembeni ndio maana pogba alikuwa ni crucial sana kwenye huu mfumo.
Na toka pre season nilikuwa naliongelea hili leo angekuwepo Dybala wala tusingeona haya mapungufu kwenye 4-2-3-1 na angekuja bruno mapema 4-3-3 ingeendelea. Na mifdfield zetu zote 5 zikiwa fit sitashangaa tukiswitch 4-4-2 diamond
Kwa tunaofahamu mashindano tunayoshiriki kwa msimu tuliongea kabla msimu haujaanza kikosi chetu ni kidogo na tukipata majeruhi ya key players 3 tu timu itapotea,huwezi kuondoa 5 players kwenye timu bila replacement na hizi option za kusajili free agent na wachezaji wa mkopo ambazo OGS amehangaika kuzifanya January zilipaswa kufanyika tangu summer na alikuwa anasema yuko comfortable na wachezaji aliokuwa nao
That was another big mistake aliyofanya OGS baadae ikamlazimu kuwachezesha wachezaji wakiwa injury (Pogba,Rashford,McTominay) waliumia kocha akawachezesha kabla hawajawa fit baadae wakapata injury za muda mrefu.
Majeruhi ni kitu hakiepukukiki ndio maana timu zinakuwa na wachezaji wengi Liverpool wamepata majeruhi ya Alisson,Gomez,Matip,Lovren,Fabinho,OX,Keita .City Aguero,Sane,Laporte,Cancelo,Mendy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unatania au upo serious mkuu????yaani unaiita Arsenal ni timu ndogo kwa England??Brother, Wolves, Arsenal na Everton sio timu kali kama tunavuojaribu kujifikirisha.
Ni kwamba standards za United zimeshuka sana. Almost kila kocha alikuwa anaifunga timu ndogo kama Arsenal. Why now?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili tumeliongelea sana humu, nikaleta hadi process ya jinsi timu inavyorecruit, kocha wa man Utd ana vote moja tu vote nyengine zipo kwa kina Ed, mascout na jopo la recruitment. Japo ole anasikilizwa kuliko mou na Lvg ila still hata yeye hapati target zake zote.Okay. Tuachane na majeruhi.
Manake hata timu kubwa wanakumbana nalo.
Je, mbadala wa key player kupata majeruhi upo wapi?
Kocha amejipangaje kwa hilo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Nitajie hata mechi 1 tu ambayo tumecheza 3-5-2 na dalot ni mzima hajacheza.Kwanini anaitumia 4-2-3-1 inayokataa na anaacha kuitumia 4-3-3
Kwa mujibu wa maelezo yako kwa mifumo yote hatuna wachezaji wanaofaa kwenye hiyo mfumo, japo kwa mujibu wa maelezo yako pia, mfumo wa 4-3-3 ndio unafanya kazi zaidi, sasa kwanini asitumie huo mfumo mpaka atakapopata wachezaji sahihi
Kiufupi hata mfumo wa 4-4-2 anaotumia mara chache hatuna wachezaji sahihi hususani winger ya kulia, hata mfumo wa 3-5-2 hatuna wachezaji wa kucheza huo mfumo au Ole hajui kama tuna hao wachezaji, mfano kwenye mfumo wa 3-5-2 huitaji kuwa na UEFA badge ya coaching kujua kwamba Dalot anafaa kuwa wing back kuliko Bissaka, lakini amekuwa akimg'ang'ania Bissaka hata kwa mechi ambazo Dalot ni mzima.
Kuhusu Fred kutokuwa fiti haina uzito wowote, kwani kwenye pre season alifanya mazoezi walivyokuwa Uingereza halafu walivyosafiri kwenda Australia hakwenda (alienda harusini), lakini aliungana na timu kule Singapore hivyo hakumisi training ya pre season kiivyo, je mwezi wa kwanza (August to September) usingetosha kumuongezea fitness na September asaidie timu?
Kuhusu Fred ni kwamba, OGS hakuwa anamwamini vya kutosha Fred, nakumbuka kwenye mechi kadhaa Fred hata hakuwa kwenye match day squad. Ole alilazimika kumchezesha Fred baada kutokuwa na options, baada ya akina Pogba kuanza kupata majeruhi. Nakumbuka Maguire alisajiliwa na hakufanya mazoezi na timu hata wiki, akawa first eleven mwanzo mwisho, ni kwa sababu Ole alimwamini. Kwa Fred haikuwa hivyo, hakuaminiwa, na si suala la fitness.
Hivyo kama ni kweli hiyo 4-3-3 ndio mkombozi wa United basi tungeweza kuitumia tu kwenye mechi zote, maana hata kwenye mifumo ambayo inatupa matokeo mabaya (kwa mujibu wako) hatuna proper players. Either way kocha hana uwezo.
By the way, kumfunga West Ham, Burnley, Cristal Palace, Newcastle, Bournamouth, Watford, Aston Villa, Everton, Southampton hatuhitaji 4-3-3, 4-4-2, 3-5-2 wala mfumo wowote, tunahitaji good coaching
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimsikiliza kwenye interview yake He sounds like one of us.Hiyo option haipo kwenye mkataba, ila United wakitaka wanampa mkataba
Ighalo anapenda sana United, hana ubavu wa kukataa, juzi yenyewe Spurs walimtaka (wakati huo hana wazo kama United watamtaka) lakini aliwakatalia abaki China ila baada ya United kuja akakubali fasta
Kwa sera za United sasa ni ngumu sana kumsajili Ighalo mwenye miaka 30,isitoshe summer kuna Uwanja mpana wa kusajili striker tunayemtaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo option haipo kwenye mkataba, ila United wakitaka wanampa mkataba
Ighalo anapenda sana United, hana ubavu wa kukataa, juzi yenyewe Spurs walimtaka (wakati huo hana wazo kama United watamtaka) lakini aliwakatalia abaki China ila baada ya United kuja akakubali fasta
Kwa sera za United sasa ni ngumu sana kumsajili Ighalo mwenye miaka 30,isitoshe summer kuna Uwanja mpana wa kusajili striker tunayemtaka
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Nitajie hata mechi 1 tu ambayo tumecheza 3-5-2 na dalot ni mzima hajacheza.
-dalot ameumia tarehe 4 august kwa siku 44 mpaka sep 17
-kabla hata hajaregain fitness vizuri october ameumia tena kwa siku 76 mpaka january 2 mwaka huu 2020.
Toka msimu uanze Dalot hajawahi kuwa fit kuanza mechi hivyo unavyosema ole anamprefer Bissaka over dalot kama wingback si sahihi.
2. Kwanini tunacheza 4-2-3-1 badala ya 4-3-3 hali ya kuwa kote hatuna wachezaji?
Mkuu timu ina midfield wawili tu akipona mmoja mwengine majeruhi, hivyo hatuna midfiled kabisa, wakati 4-2-3-1 tunao namba 10 watatu sema tu viwango vyao ni vidogo kwa sasa. Vaa viatu vya ole, ungecheza mfumo upi? Uchezeshe 4-3-3 na midfield wa tatu umuweke mchezaji ambae si midfield ama ucheze 4-2-3-1 na namba kumi zetu?
3. Mpira wa miguu sio game kama playstation mchezaji akija tu anaanza, maguire alikuwa fit, na Fred hakuwa fit. Wakati wenzake wapo mechi ya pili pre season fred alikuwa ndio anaanza kutrain mwenyewe (haruhusiwi hata kutrain na wenzake sababu ya fitness ndogo) na for the sake of discussion tu assume alikuwa fit, fred na pogba wote wanacheza deep ama kushoto sio specialist wa kucheza kulia, najua umesema hapo juu anaweza chezeshwa kulia ila mpira haupo hivyo kuna vitu vingi fred anamiss kucheza role hio ikiwemo uwezo wa kupiga cross.
Halafu mkuu unachekesha sana na chuki zako kwa ole, fred huyu huyu watu waliosema tumepigwa, fred huyu huyu mtoa maboko mashabiki wa united waliokuwa hawampendi leo ole amemfufua na amekuwa midfield mzuri lakini still lawama zote anapewa ole kwamba alikuwa hamuamini na alitakiwa amchzeshe soon alivyorudi?
Nisamehe mkuu, hii comment ilimlenga Ollachuga tu, huyu kiumbe ni kero humu
OGS amruhusu Pogba asepe tu, atuletee yule fundi wa kuitwa Glearish kwisha habari, huyu mwamba pale Astonvilla kazungukwa na wachezaji wa kawaida tu ila anakinukisha hatari, isitoshe captain material
Hata mim nimependa the way alivyo na mahaba na ManUtd, nimatumaini yangu atajitoa sana kwenye mechi, hizi salamu kwa cha uvivu wakuitwa Martial
Mara ya pili tena nakwambia mpira wa miguu si playstation, mchezaji alieumia siku 76 almost miezi 3 huwezi tegemea kapona tu ukamchezesha, even hizo under 23 ambazo wachezaji wanacheza kuregain fitness hawamalizi dakika 90 kabla ya mechi ya liverpool dalot hajacheza mechi hata moja ya Epl january ametoka majeruhi wewe kama kocha ungempiga benchi bissaka na kumpanga dalot?1. Mechi ya mwisho dhidi Liverpool, Dalot alikuwa mzima na Bissaka akachezeshwa wing back
Matic yupi mkuu? Huyu alieumia kuanzia mwezi wa 10 mpaka wa 12 na kumiss mechi 14? Ama kuna matic mwengine? Fred aliporudi kwenye kikosi Matic nae akaenda hospitali.2. Kuna mechi nyingi tumekuwa na midfielder 3 au zaidi wakiwa fiti lakini OGS amekuwa akiutumia huo mfumo wa 4-2-3-1 badala ya huo mfumo "productive" unaouamini wewe. Matic, Fred, Scot na Pereira wamekuwa fiti kwa wakati mmoja kwa muda mwingi tu, muda tuliojikuta tuna hali mbaya sana tulibaki angalau na watu 3 katikati (hapa sijahesabu academy product kama Garner & Co.)
Mfano wa hio mechi?Kuna wakati OGS alidiriki kumpanga Pereira na Matic katikati katika hiyo mid 2 na Fred akiachwa kabisa, halafu bado unaamini alibaki na viungo wawili ndio maana a katumia huo mfumo wa 2-3 katikati.
Mkuu kuna kitu kikubwa unachanganya hapa3. Fred ame train vya kutosha akiwa United kipindi cha pre season kuliko hata Maguire. Ame train kabla ya ku safiri pre season, akaenda kwenye harusi, akarudi akacheza mechi ya pre season dhidi ya Inter, Tottenham, Kristiansund na Ac Millan, ulitaka acheze kiasi gani au kwa muda gani ili tuseme alikuwa fiti?
Ole anamsifia fred, Fred anamsifia ole wanapendana na dressing room yetu yote ni kitu kimoja ila wewe mzee upo huku unajua zaidi na kutoa kashfa.Kwahiyo hoja ya kwamba Fred hakuwa fit ni dhaifu sana. Narudia tena ishu ya Fred kupigwa benchi ilikuwa zaidi ina mahusiano na imani ya Ole kwa Fred kuliko suala la fitness.
Na ndio kazi ya shabiki kuwa nyuma ya Kocha na wachezaji hata kundi kubwa kabisa la mashabiki la Red Armies hio ndio motto yao, sio kazi ya shabiki kumfundisha kocha na kuponda kila anachofanya.4. Ole nampongeza kwa Fred kurudisha kiwango chake (japo kiwango cha Fred kwa asilimia kubwa kilikuwepo ila ni kwamba hakuaminiwa na hakupewa fursa ya kucheza mechi mfululuzo ili kurudisha confidence yake). Namkumbuka Fred wa Shakhtar, kwa hiyo tusimpe sana sifa Ole
5. Nampongeza Ole kwa kuwapa nafasi vijana kama Williams, Greenwood & Co. lakini ukweli ni kwamba hawa vijana hata Jose alianza kufuatilia mienendo yao, kwahiyo tumpe sifa Ole lakini sio kiivyo
6. Simchukii Ole, lakini ninachofanya ni kusema ukweli kuwa hana uwezo wa kuifundisha United. Mimi nimewahi kuwa shabiki wake kama kocha, na moyoni mwangu nilimpa muda (kama shabiki) lakini mwaka umepita anaonekana hajui anachofanya, ameonesha hana uwezo nimuunge mkono ili iweje (nasisitiza simchukii)
7. Miezi mingapi ilimchukua Brendan kuiweka Leicester vizuri, hata miwili haikufika, ilimchukua Zidane miezi mingapi kuiweka sawa Madrid, hata 6 haikufika. Wengine wanaweza kusema Madrid ni tofauti na Utd, je Madrid imewashinda makocha wangapi kabla Zidane hajarudi
8. Ukiachilia mbali mapungufu ya Bodi na Ed, United kwa sasa tuna poor coaching, huhitaji Ed uwe na Director of Football ili umfunge Rochdale (katika dakika 90, sio hadi penati),huitaji usajili mkuubwa ili umfunge Westham
9. Mapenzi yako kwa Ole kama mchezaji yanakufanya usahau/usione mapungufu yake kama kocha. Unatamani sana afanikiwe, lakini inaishia kuwa unatamani kwani uwezo wa kufanya vizuri hana
Sent using Jamii Forums mobile app
OGS uchanga wake wa uongozi umemgharimu sana this season, kaondoa wachezaji wengi pasipo replacement, kaja kuamka this january kwa kumleta Bruno na Ighalo wakati alitakiwa awasajiri kabla msimu haujanzaOkay. Tuachane na majeruhi.
Manake hata timu kubwa wanakumbana nalo.
Je, mbadala wa key player kupata majeruhi upo wapi?
Kocha amejipangaje kwa hilo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya pili tena nakwambia mpira wa miguu si playstation, mchezaji alieumia siku 76 almost miezi 3 huwezi tegemea kapona tu ukamchezesha, even hizo under 23 ambazo wachezaji wanacheza kuregain fitness hawamalizi dakika 90 kabla ya mechi ya liverpool dalot hajacheza mechi hata moja ya Epl january ametoka majeruhi wewe kama kocha ungempiga benchi bissaka na kumpanga dalot?
Matic yupi mkuu? Huyu alieumia kuanzia mwezi wa 10 mpaka wa 12 na kumiss mechi 14? Ama kuna matic mwengine? Fred aliporudi kwenye kikosi Matic nae akaenda hospitali.
Mfano wa hio mechi?
Mkuu kuna kitu kikubwa unachanganya hapa
-match fitness
-kuzoeana na wachezaji wenzako.
Maguire alikuwa match fit anajiunga man utd tayari yupo fit, ameshiriki pre season ya leicester na amecheza mechi za kirafiki.
Fred yeye hakuwa fit, alivyokwenda pre season alikuwa akitrain mwenyewe means alikuwa na fitness ndogo sana.
Ni kama situation ya sasa, bruno ni match fit amekuja kikosi cha kwanza moja kwa moja ila Ighalo anahitaji wiki mbili hadi mwezi sababu gombea goli wanalocheza china sio Epl.
Ole anamsifia fred, Fred anamsifia ole wanapendana na dressing room yetu yote ni kitu kimoja ila wewe mzee upo huku unajua zaidi na kutoa kashfa.
Na ndio kazi ya shabiki kuwa nyuma ya Kocha na wachezaji hata kundi kubwa kabisa la mashabiki la Red Armies hio ndio motto yao, sio kazi ya shabiki kumfundisha kocha na kuponda kila anachofanya.
Nilikuwa nyuma ya LVG, mou na hata ole, watapata support yangu popote pale mpaka siku watakapokuwa hawahusiani na Man utd.
Karibu man u