OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mkuu hili suala mbona tulijua mapema tu?Bruno tumepigwa bhana kwa kiasi alichonunuliwa mechi yake ya kwanza alipaswa awe na Ratings za juu sana
TUMEPIGWA
Huyu kocha hafai mpuuzi yaani Mata anamuanzishaga benchi
Kama Ole atajaribu kumuweka Fred nje katika hali yoyote nitamuona kichaa zaidi.
Naona kwa sasa baada ya ujio wa Bruno nafasi ya kiungo itakuwa na changamoto sana watakapopona Scott na Pogba. Maana hata huyo Mata siku hizi naona anacheza sana na anachangamsha sana timu sasa sijui ndio anaidai namba 10 yake.
Dogo anataka kusepa ndio maana anafanya vitimbiAkili za akina Mbape na Pogba zinafanana kabisa, nimeona jana uwanjani Mbape anamdindia kabisa kocha wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba msimu huu ni kama hajacheza kabisaMbona kabla kirusi hajaumia walikuwa wakicheza hivyo hivyo?.
Namsubiri Tominay na Pogba apone nione nani atakaa benchi, possibly ni Fred.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mata anajua sana, ni timu yetu mbovu na kocha mbovu tu. Mata huwa nasema ni Bernardo Silva wetu pale United. Akiwepo pale unaona kabisa kuna ufundi katikati. |
Anajua, ila miguu ilishalala.
Mata anajua sana, ni timu yetu mbovu na kocha mbovu tu. Mata huwa nasema ni Bernardo Silva wetu pale United. Akiwepo pale unaona kabisa kuna ufundi katikati.
Ole Ni Kilaza mwenye cheti kabsa!
Tapishi haliliki tena!Huyu Martial kilichobaki tumtumie kumleta Sancho. Kama inawezekana .
Beggars can't be choosers
Tuvute subira Ole anafanya usajili ambao una tija Sana, tangu aingie,
Mata anajua sana, ni timu yetu mbovu na kocha mbovu tu. Mata huwa nasema ni Bernardo Silva wetu pale United. Akiwepo pale unaona kabisa kuna ufundi katikati.
UsisahauBado najiuliza.
Inamaana Anthony Martial amekuwa garasa kwa uzembe wake au mbinu za kocha zimeshundwa kumfanya ang'are?
Wachezaji wanakuja wazuri, ila kocha ana mbinu mbovu mpaka wanashindwa kuonesha viwango vyao kwa muda mrefu.
Daniel James naye hivyohivyo.
Bado naamini Martial hajawa mbovu kiasi hiki, kocha ndie mbovu. Hana mbinu sahihi za kutumia wachezaji wenye vipaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa... Ila mi kwangu yupo kwenye 80-90...ngoja atulie au aende timu nyingine kama lukaku ndo utamuonaDah..... Sijui hata nikikueleza utanielewa
Nishawahi kusema kwa mtazamo wangu, Pogba is 65%-75% complete midfielder,
Kwa hiyo ranking ya kiasilimia, sio mchezaji mbaya, ni mzuri, above average
Lakini hiyo haimaanishi kwamba, hakuna midfielders wengine (duniani) ambao ni 70%-80% au to 90%
OGS asingemng'ang'ania summer na tungemuuza na tungenunua mwingine nisingekuwa namuongelea kwenye kikosi chetu leo hii. Lakini kwa sasa ndio yupo kikosini lazima tumtumie, after all midfielder wa hiyo ranking ya 65%-75% sio mbovu kiivyo.
Kiufupi Pogba kama mchezaji, kama yupo tayari kujitoa kwa asilimia zote na akiwa na right attitude ana potential kufika hiyo asilimia 75 kiuchezaji lakini kwa bahati mbaya hana hiyo mentality
Narudia, kwa sasa Pogba ni moja kati ya most creative players tulionao kikosini (nimesema tulionao kikosini, sio duniani) , hivyo kumuweka pembeni akiwa fit ni kujichanganya
Mwisho Pogba ni mchezaji ambaye niseme ni aina wachezaji wenye nyota ya kuwa overhyped, Pogba, Gareth Bale ni aina ya wachezaji wenye majina makubwa kuliko uwezo wao. Pogba ni Kinyume cha wachezaji kama akina Kante, KDB, Firmino & Co.
Ikitokea mtu kashuka kutoka sayari nyingine akatajiwa Pogba anaweza kudhani ni level za akina CR7 au Messi au Hazard kumbe yupo nyuma yao sana kiuwezo
Sent using Jamii Forums mobile app