OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Unawananga washabiki wa United walevi wakati wewe huwezi ingia JF bila kula bange kwanza upate ganzi maana chelsick ni pasua kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bruno tumepigwa
Wabongo sisi sijui tuna matatizo gani.😂😂
Mara hii tayari umeshammaliza Bruno mchezaji amefanya mazoezi siku moja tu na wenzake? Tena anacheza na Pereira 😂
|
Hivi Matic ni mechi tatu au moja anakosa.
Martial kazingua kama muda wote hivi, kasoro alipoingia Greenwood na yeye kwenda wing ya kushoto, hapo ndipo angalau alicheza. Kipindi cha kwanza kila akipewa mpira, ananyang'anywa.
Next ni Chelsea pale darajani after winter break
Another tough game
Natumai Pogba atakuwa ndani ya nyumba. Hivi hili jeraha lake ni alikatika kabisa mguu au😂😂 |
Yani vile alivyocheza ndo alikuwa moto? Sasa siku asipokuwa moto anakuwaje huyo Pereira?Umechemka sana..Perera leo alikuwa moto. Bruno leo hakuwa kwenye kiwango chake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial kazingua kama muda wote hivi, kasoro alipoingia Greenwood na yeye kwenda wing ya kushoto, hapo ndipo angalau alicheza. Kipindi cha kwanza kila akipewa mpira, ananyang'anywa.
Nadhani Martial anatakiwa ashambulie akitokea pembeni, Rashford pia ni hivyo hivyo,Mou alikuwa na akili sana. Nafikiri huyu Ighalo atakuwa tisa halafu Martial na Rashford watatokea pembeni. James ataanza kutulizwa bench. |
Tatizo, wote Rash na Martial wanakuwa bora zaidi wakitokea kushoto.
Nadhani Martial anatakiwa ashambulie akitokea pembeni, Rashford pia ni hivyo hivyo,Mou alikuwa na akili sana.
Nafikiri huyu Ighalo atakuwa tisa halafu Martial na Rashford watatokea pembeni.
James ataanza kutulizwa bench.
Tutawapiga nyingi kinoma...Next ni Chelsea pale darajani after winter break
Another tough game
Sio rahisi labda McTominay
Natumai Pogba atakuwa ndani ya nyumba. Hivi hili jeraha lake ni alikatika kabisa mguu au
MojaHivi Matic ni mechi tatu au moja anakosa.
Beggars are not choosers
Nadhani Martial anatakiwa ashambulie akitokea pembeni, Rashford pia ni hivyo hivyo,Mou alikuwa na akili sana.
Nafikiri huyu Ighalo atakuwa tisa halafu Martial na Rashford watatokea pembeni.
James ataanza kutulizwa bench.
HahaaMsimu huu unaitwa 2019/20 msimu ujao ndio 20/21
Waandikie email ligi ya uingereza kuwa wamekosea.
Tunasema MalinaBora nyie Bodi yenu ipo makini imesajili wawili. Chelsea tutasemaje sasa
Sent using Cash Money Wings