Na unam rank PP kama mfia timu?

Lukaku alicheza kwa ajili ya timu kuliko Mr. attention Pogba anavyojitolea kwenye timu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wewe jamaa upo makini sana kichwani mwako
 
Hana
Dah wewe jamaa upo makini sana kichwani mwako
lolote, pogba hakuna asiyejua kuwa ni kirusi, uliona mwenyewe kocha kukumtumia mechi muhimu kwa sabb za pogba mwenyewe. Let things be bwana. Akiumwa makusudi let him be, akitaka kupambana nafasi yake ipo, hivyo ndivyo kocha alivyomchukukia, kocha anamtumia mchezaji anataka atumike, na wote wanaopewa Chance hiyo wanafanya vizur.

Nikimeza mate kidogo, ndg yangu

beki yenyewe haijakaa vzr wanaendelwa kuangalia best centre back. Bado tunajua tunahitaji defending midfield, na striking power machine.

Mkuu Manchester United is a lovely club on Earth.
 
Hujamtaja kama mfia timu, japo hujamtaja kama muangusha timu kama unavyomtaja Lukaku

Maguire pia ana kilo 100,naye tumuuze mkuu, Captain na anaonekana ni mfia timu au wewe unamuona sio mfia timu kwa kuwa ana kilo 100?
Wapi nimetaja pogba mkuu?

Lukaku kaondoka man u ana kilo zaidi ya 100 alikuwa anaifiaje hio timu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzito unaendana na urefu maguire ni mrefu zaidi ya lukaku, medical za inter alikuwa na kg 104, hapo tayari ameshahudhuria pre season na Man U.

Ndio maana lukaku alivyofika Inter kitu cha kwanza ni mazoezi ya kupunguza uzito sasa hivi ana 93kg, ameshakata kilo 11.

Timu watu walishaanza kuiview kama retirement place, sehemu ya kuchukua mshahara mkubwa na kula bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…