Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitu tayari dakika zimerejeshwa nyuma van Persie anapiga kona.. Game resumed
rooney kakosa goli
 
Hii game ngumu sana,sijui kwa nini SAF kamweka benchi Kagawa
 
Once again the lads deliver..they do exactly what is expected of 'em...GGMU.
 
Ushindi mdogo lakini muhimu sana,mechi ilikuwa ngumu kwetu
 
Leo ndo nimeona tunalinda goli ipasavyo, inatakiwa kuwe na watu kwenye nondo sio kufanya kazi ya kumlinda kipa matokeo yake tunafungwa kizembe
 
kuna aina fulani ya uchoyo kwenye safu ya ushambuliaji ya ManU....otherwise wangekuwa wanafunga magoli mengi kwenye gemu zao nyingi tu.......
 
Rooneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey

Wayne-Rooney-Manchester-United-Fulham-Premier_2894768.jpg
 
Sure. Adui mtakie njaa. Nimependa droo ya leo, ingawa nilipenda Looserpool washinde

Reina pulled one stupid trick off his sleeve and gifted 'em a consolation goal. Otherwise tungekuwa tunaongelea 10 Pts gap.
 
Back
Top Bottom