D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Yaani well said mkuu, hadi wew haters umeona mapungufu yetu, yaani hii timu yangu isipofanya maamuzi ya haraka na magumu sasa hivi, pengine itachua more than 20years kama wew kuja kukaa sawaHuyo Bruno mnayemlilia akija hapo kwa huu mfumo wenu na koch wenu hamna lolote atakalofanya. Mwisho wa siku ataishia kuwa mediocre kama wenzake wanaomzunguka (coping with the system) kama ilivyotokea kwa Maguire, Bissaka na D. James, washaanza kufanania na wenzao identically. Kila mtu mtampraise na akija hapo anapotea.
Kwanini? It is because of the whole system. Kuanzia kwenye board mpaka kwa coach management. No miracles gonna be brought single-handedly na mchezaji mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo tulimlaum lukaku na sanchez, wameondoka timu bado inamatatizo yaleyale.Huyo Bruno mnayemlilia akija hapo kwa huu mfumo wenu na koch wenu hamna lolote atakalofanya. Mwisho wa siku ataishia kuwa mediocre kama wenzake wanaomzunguka (coping with the system) kama ilivyotokea kwa Maguire, Bissaka na D. James, washaanza kufanania na wenzao identically. Kila mtu mtampraise na akija hapo anapotea.
Kwanini? It is because of the whole system. Kuanzia kwenye board mpaka kwa coach management. No miracles gonna be brought single-handedly na mchezaji mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachojiuliza sisi tupo far miles from Manchester tunayaona haya, sasa walipo pale kwenye management hawayaoni kweli?Nikisema na ninasema tena ole hata baada ya mwaka 2023 hatutakuwa tumefanya lolote chini yake nikimaanisha hatuwezi cheza champions league chini ya Ole.....
Unaangalia timu kwa jicho la kawaida tu unaona hamna cha rebuild wala nini ni ubahatishaji tu....
Tumeanza kuwakataa Maguire na James na bado tutaendelea kuwakataa wachezaji wengine maana ole zaidi ya motivation hana anachoongeza kwa wachezaji wetu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachojiuliza sisi tupo far miles from Manchester tunayaona haya, sasa walipo pale kwenye management hawayaoni kweli?
Velved kawapa Barcelona 2 league trophy ila wamemtimua kwasababu timu haichezi mchezo mzuri tu, inapata matokea ila hakuna pass za kutosha za ki'la masia
Sasa sisi tunamvumilia nin Ole Sendeka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hapo na Mustafi ni wa kwetu mkuu....Mkuu unakashifu eeh! Kule nikiwakashifu wachezaji wenu usikasirike.
Sent using Cash Money Wings
Kokojoe ukalala panya weweLile goli la pili la Burnley linaweza kutatua matatizo mengi kama kupata kazi, kupata mke, na mengineyo mengi...
Ule mtutu ungeweza kuchana nyavu aise..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Van gal alikua Anatupeleka sehemu sahihi kabisa yule ndo tuliitaji kumpa mda hata mpira ulikua mzuri sana shida ikawa ufungaji tu lakini timu ilionekana kubadilika kiuchezaji... Sasa huyu mmasai anasema timu ina improve sijui kutokea wapi maana hamna tunachoweza kufunga shida hata pasi complete 10 shida, labda kuna sehemu mnaona tunaimprove mimi sioni shabiki newbie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusikiliza mkuuKuponda ni rahisi sana kuliko kutafuta solution.
Matterqo yako nyau weweOld Trafford ni soko la samaki lililogeuzwa kuwa uwanja... Wachezaji wachuuzi,mashabiki wanunuzi wa samaki.
Hayakuhusu kama vipi katembelee uzi wenye furaha ya harusi kama LivapuuuuYaani siku hizi kutembelea threads za Man Utd, Arsenal, Chelsea na City inakuwa kama unaenda kufariji wagonjwa.
Jamani endeleeni kupambana, hata sisi tumetoka huku mliko.
Wamehamia kwa Woodward.Ka'loose nyingi kuliko alizo'win
Scholes, Ferdinand, Keane, Neville kimya bcoz OGS ni mwenzao
Maisha bila ya unafiki hayaendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayakuhusu kama vipi katembelee uzi wenye furaha ya harusi kama Livapuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Akitekwa yule ndiyo utawajua makachero wa M16 na Scotland Yard wanavyofanya kazi.Uingereza kwani hakuna wasiojulikana wamteke ole wiki kadhaa atangazwe kocha mwingine?
Sent using Cash Money Wings