Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo ndio ameanza kufuatilia mpira jana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Under Mourinho, United conceded 26 goals in the entire 2017/18 season, with Jones, Smalling, Young and Valencia in defence. In 2019/20 Ole's United has conceded 26 goals in 24 games with the world's most expensive defender and the world's most expensive full-back.

Ole at the wheel
 
Ndio maana na mimi naona huyu jamaa ni tatizo zaidi

Anapenda sana kuwa kocha wa United kiasi cha kwamba yupo tayari kuongea ujinga ili asiwauzi wakubwa. Haka kajamaa wakati Glazer ana take over United kalikuwa very critical, sasa hivi unaweza dhani ni mtu mwingine kabisa, kumbe unafiki sio bongo tu hata wazungu wapo

Hawezi kuwaambia ukweli kwamba kuna mapungufu hapa na hapa, kanapiga siasa tu ili kaendelee kuwepo kwenye timu
, sina uhakika kama atafikisha hata mechi 100 huyu jamaa

Lakini hata mbinu zake nimekuwa na mashaka nazo, too predictable, too rigid, too boring
Kuna mtu bado ana matumaini na huyu mmasaai Ole?
Kila siku kwenye press anasema wanaimarika na wachezaji wake wanafanya vizuri,kwa nini tumkasirikie Ed wakati Ole ni mnafiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akirudi ni ubishi wake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is scary you know
 
Yes Van gal alikua Anatupeleka sehemu sahihi kabisa yule ndo tuliitaji kumpa mda hata mpira ulikua mzuri sana shida ikawa ufungaji tu lakini timu ilionekana kubadilika kiuchezaji... Sasa huyu mmasai anasema timu ina improve sijui kutokea wapi maana hamna tunachoweza kufunga shida hata pasi complete 10 shida, labda kuna sehemu mnaona tunaimprove mimi sioni shabiki newbie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…