mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Sisi sio plastic fans, japo timu yetu haifanyi vizuri ila tupo active 24hrs ktk uzi wetu, Sir Alex ndio alietupa huu undavaMashabiki wa manure wana maneno lkn pia wamejaaliwa roho ngumu sana, daaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Jude Bellingham, United target
Kijana wa miaka 16, kutoka academy ya Birmingham City na kwa sasa ni tegemeo kwenye midfield ya timu ya Birmingham City inayocheza Championship
Bellingham amekuwa akifuatiliwa sio tu na United bali na Arsenal, Liverpool, Barca na timu nyingine Ulaya
Sifa kubwa za Bellingham ni ukabaji, ku dribble mpira, kutoa pasi za mwisho na kufunga magoli, kwa ufupi huyu dogo ni box to box midfielder
Inakisiwa thamani ya kijana huyo wa kiingereza ni £25m na United wapo tayari kumnunua na kumrudisha kwa mkopo pale Birmingham City mpaka msimu utakapokwisha
Jude Bellingham, kumbuka hili jina. One for the future.
Sent using Jamii Forums mobile app
Updates za Bruno
Sporting Lisbon wameondoa picha yake ktk twiteer coverView attachment 1329071
Sent using Jamii Forums mobile app
dah hiyo fedha mbona ni nyingi mno au kwa sababu ni muingereza?
halafu vipaji vya kiingereza vinakuwa havina utofauti na betting...
angalau ingelikuwa paundi millioni 5 - 7.
unamkumbuka nick powell?
View attachment 1328944
mshidi waHivi FA cup tuko drawn na kina nani??..weekend ni FA cup
Okay mkuumshidi wa
Tranmere Rovers
vs
Watford
wanacheza Alhamis
Achana na hao wapuuzi.Carrier ya Klop kama kocha ni miaka 5?
By the way sio mimi ninayemfananisha ni watu flani flani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali, gemu yenu ya mwisho mlishinda ngapi?Sisi tutaendelea kushinda Kila gemu inayokatiza mbele yetu..
Sasa niny mutaweza kumfunga Nu Casto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hii habari ni ya mwaka jana sio ya mwaka huu!!Bruno Fernandes signed a new contract
Bruno Fernandes signed a new contract with Sporting CP. “I am very proud. It means that the Club recognizes my work and it's a sign that I am doing things right. I always try to give my all and do what is best for the Club”, he started by saying. Bruno goes on to say; “It is for what I do inside...www.sporting.pt
Hapa unasemaje
Mejbri hope nimepatia jina bado mdogo mkuu ana only 16 now, ni risk kubwa.... Ila nakosa yote yametokea Ole ile pesa yake Lukaku alitaka awafurahishe wakubwa wake alafu akajisifia kuwa kutonunua striker kungefanya njia ya mason kuwa ngumu sahizi anatapa tapa amtumie huyo mason tuone.....Lakini hii habari ni ya mwaka jana sio ya mwaka huu!!
Ila ningekua Ole wala nisingehaika na akina bruno...
Kamata Gomez, Garner na kuna yule kiungo wa under 23 mwenye manywele marefu flani hivi!!
Hawa ningehakikisha wanapanda first eleven na msimu ndio ningewatumia ipasavyo!!
Kocha mwenye timu inafungwa anahojiwa anache cheka tu anashindwa ata RVP amecheza Manchester United muda mchache lakini ana uchungu na timu.naHii timu yangu sio ya kuijadili tena .imeshakua sugu na dawa yake ni kuiacha tu au kutoangalia mpira wake
Mimi wa madongo huku kijijininiliona timu haiwezi hata kupiga pasi 3 kwa usahihi alafu ole anasema "but there were signs that we are on the right track" hivi ule utumbo tuliocheza na liver Kweli ndio right track?? mimi sijui nihamie mchezo gani naona kabisa hili litimu lishakufa hakuna matumaini kabisaSolskjaer on Woodward
Man Utd v Burnley (Wed, 20:15 GMT)
Manchester United
Ole Gunnar Solskjaer was also asked about comments by Gary Neville, who was heavily criticial of Ed Woodward and the club's recruitment.
"For me now, we've lost to Liverpool, a team you all say are fantastic and we've been in the game until the last kick of the ball," said Solskjaer.
"Of course we're disappointed losing the game, we don't want to be behind them in the league but there were signs that we are on the right track.
"Now is not the time to speak about recruitment. We're looking to Burnley. We're always looking to improve the squad and the club but now is not the time on Gary and the discussion.
"You can look back at history and of course we know we are not where we want to be, should be and historically have been, it's just down to us now to work better.
"I've been here 13 months, my experience with the players we've brought in has been good so no complaints whatsoever."
Safi comment nzuri... Hii timu inakeraJohn Rushton: Haaland looks amazing, wish him well at Dortmund. He didn't slip through Man United's transfer net. He wanted to sign for a Champions League team pushing for honours, not a mid-table Premier League side pushing for Europa League qualification.
Ahh akutukanae akuchagulii tusi lakini wanayataka wenyewe kina Graezer na ED na huyo kocha wao OGS