M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,694
- 117,115
20/01/2020
tetesi za leo zinasemaje wadau?
mara paap alex sanchez amerudishwa klabuni kutoka inter milan
wewe ndio huelewi hata unachoongea...... huyo babu wako vikombe vyote hivyo alivichukua akiwa utd ndani ya miaka 25....... 25 YEARS mfululizo kwenye timu moja!.....We mwenyewe hapo umeandika SAF unajua hiyo S ya kwanza ina maana gani?
SAF amechukua UCL mara 2, Klop amechukua mara ngapi?
Huyo SAF wangu alikaa almost miaka 6 bila kuchukua kombe, unajua alichukua timu ikiwa ya ngapi kwenye msimamo? Ilikuwa ya 19, na tangu hapo timu haijawahi kuyumba mpaka anaondoka.
Huyo Klop wako unajua alishaishusha Mainze daraja na hakuweza kupandisha akatimuliwa? Unajua alipokuwa anapeleka Dortmund kabla ya kutimuliwa? Unajua circle yake ya kiufundishaji? Anachukua timu > Anayumbisha timu > Anaweka Stability kwenye timu (kwa kushinda vikombe viwili vitatu) kwa miaka isiyozidi 2 > Anaanza kuishusha > Anafukuzwa
Unamfananisha Klop ambaye hana hata makombe 10 na SAF mwenye makombe 38, kati ya hayo 13 ni premier, 2 ni UCL?
Embu acha kumfananisha babu wa watu na vitu vya kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tupe mafanikio ya SAF kabla ya kuja man uWe mwenyewe hapo umeandika SAF unajua hiyo S ya kwanza ina maana gani?
SAF amechukua UCL mara 2, Klop amechukua mara ngapi?
Huyo SAF wangu alikaa almost miaka 6 bila kuchukua kombe, unajua alichukua timu ikiwa ya ngapi kwenye msimamo? Ilikuwa ya 19, na tangu hapo timu haijawahi kuyumba mpaka anaondoka.
Huyo Klop wako unajua alishaishusha Mainze daraja na hakuweza kupandisha akatimuliwa? Unajua alipokuwa anapeleka Dortmund kabla ya kutimuliwa? Unajua circle yake ya kiufundishaji? Anachukua timu > Anayumbisha timu > Anaweka Stability kwenye timu (kwa kushinda vikombe viwili vitatu) kwa miaka isiyozidi 2 > Anaanza kuishusha > Anafukuzwa
Unamfananisha Klop ambaye hana hata makombe 10 na SAF mwenye makombe 38, kati ya hayo 13 ni premier, 2 ni UCL?
Embu acha kumfananisha babu wa watu na vitu vya kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio huelewi hata unachoongea...... huyo babu wako vikombe vyote hivyo alivichukua akiwa utd ndani ya miaka 25....... 25 YEARS mfululizo kwenye timu moja!.....
ni upuuzi kuanza kumfananisha Klop mwenye miaka pungufu ya 5, na mtu aliekaa miaka 25, na hio cycle uliyoonesha hata babu yako angeweza kupitia kama angeondoka utd (his comfort zone)!.......…
alafu pia ni upuuzi mkubwa kuanza kulinganisha mtu aliefundisha kukiwa na timu 2 tu zenye ushindani ndani ya ligi na mtu anaefundisha kukiwa na timu 6 zenye ushindani..... hakua mjinga kuachia kiti maana alijua timu nyingi zinaanza kuwa bora!.....
lastly, usirudie tena kuleta ulinganisho wa aina hii, atleast linganisha vitu toka generation moja..... ukitaka kuleta vya zaman basi anzia na kina bob huko ndio wanafanana
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa ni wa kawaida tu mkuuVery right, it's a matter of time
Ndio maana kuna watu wakimfananisha na SAF kama nakunywa maji naweza kupaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Saasa alitaka tujenge timu kama mavuzi ya mamake? Yalivyonyolewa wkt anazaliwa. Pussy wewe.Man U kiukweli sasaivi haina identity yaani wanacheza cheza tu wakiwaotea wanyonge wanawapiga wakikutana na watu walio serious na wenye structure matokeo yake ndo kama yale ya jana
Jana John Barnes baada ya mechi kuisha alitoa bonge la point akasema kuwa tofauti ya Liva na Man u kwasasa ni kuwa Liverpool inanunua wachezaji ambao wanaendana na kufit kwenye system yao ndomana unaona mtu kama Gini Wijnaldum anatoka Newcastle lakini anaenda pale anashine ILA sasa upande wa pili Man U ni vice versa wao wananunua mchezaji desperately halafu wanajaribu kuitengeza timu kuizunguka huyo mchezaji kitu ambacho hutokaa ufanikiwe kamwe
Hapa ni kuwa wapinzani ni wabovu in material particular, zile timu kubwa karibia zito zinapitia kipindi cha mpito, ila wakisajili vizuri Liver inarudi kwenye nafasi yake, mimi siyo mshabiki wa Man ila kwa jana tu wangekuwa na Pogba na Rashford, mambo yangekuwa mengineLiverpool is not exceptional, hiyo nakubaliana na wewe.
Lakini we all agree kwamba ana records ambazo anaziweka sasa hivi ambazo tunaambiwa haijawahi kutokea toka EPL ianze.
Na kama ni case ya kwamba Liverpool siyo exceptional kwa ubora, basi wapinzani wako exceptional kwa ubovu.
22 games, 64 points out of 66 haijawahi kutokea kwa ligi zote 5 kubwa Ulaya. The Invincibles ambao walimaliza ligi bila kufungwa mpaka muda huu walikuwa tayari wana droo 5.
Aint that enough kusema Liverpool have been exceptional at least for this period?
Jana mechi yetu na hao kuku nimejifunza jambo moja kubwa.
TIMU PAMOJA NAKUONGOZA LEAGUE HAIJIAMINI, NA HILO SIO KWA HAWO MBWA TU, HATA TIMU ZOTE ZINA IHARA SANA MAN UTD.
GOOGGOMAN UTD. ..........
Hapa ni kuwa wapinzani ni wabovu in material particular, zile timu kubwa karibia zito zinapitia kipindi cha mpito, ila wakisajili vizuri Liver inarudi kwenye nafasi yake, mimi siyo mshabiki wa Man ila kwa jana tu wangekuwa na Pogba na Rashford, mambo yangekuwa mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuseme kwa kiasi kikubwa"In material particular", hii ina maana gani?
huyo paul pogba amecheza mechi ngapi msimu huu?Hapa ni kuwa wapinzani ni wabovu in material particular, zile timu kubwa karibia zito zinapitia kipindi cha mpito, ila wakisajili vizuri Liver inarudi kwenye nafasi yake, mimi siyo mshabiki wa Man ila kwa jana tu wangekuwa na Pogba na Rashford, mambo yangekuwa mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa pia, halafu haikuwa one thing. Baada ya lile goal kila kona nilikua naona Fred au Williams ndio wanamkaba VVD.Wanajidai hawakuona
Hapo lengo ni kutaka kuonesha VVD kamzidi kete Maguire
Ila hapo ndio nashindwa kuelewa wachezaji wa Man Utd wanawaza nini
Of all people, Williams ndio kakabidhiwa am mark VVD kwenye set pices
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichokuwa kinafanyika pale ni zonal marking..kitu ambacho kina faida na hasara zake..Nashangaa pia, halafu haikuwa one thing. Baada ya lile goal kila kona nilikua naona Fred au Williams ndio wanamkaba VVD.
Nilitegemea kidogo labda Matic au Maguire ndiye akabane naye, smh..
Sent using Jamii Forums mobile app