Sasa kama unafungwa na hii Liverpool Nu Casto ndo utamueza kweli...
Na Ole wenu musipomtimua Ole
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wakawaida sana, aina ya soka la Klop anawafundisha wachezaji wake kukamia, ndio maana kule Dortmund baada ya misimu kadhaa ya kukamia wachezaji walipochoka akataka kuishusha timu daraja akafukuzwa, naiona Liverpool msimu ujao ikimaliza nj'e ya Top4Hawatak kusikia hili suala la bahat wanaamini wanaupiga mwingi balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Leicester!
Hahahahahahahahah Nimecheka sana.Hawa ni wakawaida sana, aina ya soka la Klop anawafundisha wachezaji wake kukamia, ndio maana kule Dortmund baada ya misimu kadhaa ya kukamia wachezaji walipochoka akataka kuishusha timu daraja akafukuzwa, naiona Liverpool msimu ujao ikimaliza nj'e ya Top4
Sent using Jamii Forums mobile app
huwa sometimes unajivutisha bangi kwa makusudi halafu ndio unaandika comment?Bahati tu
Mane amemis chances ngapi
Salah chances ngapi
Unataka kusema Manchester United wali create chances nyingi kuliko Liverpool Mkuu,
Liverpool wame missed a lot of chances to score unasema wameshinda kwa Bahati.
Na ndo maana tumewaacha wote kwa points zote hizo. Nyie na hao wengine mpigao mwingi mko wapi?Hawatak kusikia hili suala la bahat wanaamini wanaupiga mwingi balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
1) Liverpool—64Mashabiki wa liverpool wanataka tuone Liverpool ni very exceptional from mars labda.It just normal kushinda EPL ingawa naelewa 30 yrs it was a long wait.I admit mmekua na msimu mzuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
.Maguire hajam-mark VVD kwenye ile kona ya goal, dogo Williams na Fred ndio walikua karibu.
In the end VVD alipiga free header.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema misimu mizuri. Maana hata uliopita tulikosa ubingwa kwa point moja tu, na tukabeba UCLMashabiki wa liverpool wanataka tuone Liverpool ni very exceptional from mars labda.It just normal kushinda EPL ingawa naelewa 30 yrs it was a long wait.I admit mmekua na msimu mzuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasbb tayari imeshakamia misimu kadhaa? [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hawa ni wakawaida sana, aina ya soka la Klop anawafundisha wachezaji wake kukamia, ndio maana kule Dortmund baada ya misimu kadhaa ya kukamia wachezaji walipochoka akataka kuishusha timu daraja akafukuzwa, naiona Liverpool msimu ujao ikimaliza nj'e ya Top4
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wa liverpool wanataka tuone Liverpool ni very exceptional from mars labda.It just normal kushinda EPL ingawa naelewa 30 yrs it was a long wait.I admit mmekua na msimu mzuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wakawaida mno, Man United Baba Lao 20Epl titleKwasbb tayari imeshakamia misimu kadhaa? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wakawaida sana, aina ya soka la Klop anawafundisha wachezaji wake kukamia, ndio maana kule Dortmund baada ya misimu kadhaa ya kukamia wachezaji walipochoka akataka kuishusha timu daraja akafukuzwa, naiona Liverpool msimu ujao ikimaliza nj'e ya Top4
Sent using Jamii Forums mobile app
1) Liverpool—64
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
2) Manchester City—48
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool is not exceptional, hiyo nakubaliana na wewe.
Lakini we all agree kwamba ana records ambazo anaziweka sasa hivi ambazo tunaambiwa haijawahi kutokea toka EPL ianze.
Na kama ni case ya kwamba Liverpool siyo exceptional kwa ubora, basi wapinzani wako exceptional kwa ubovu.
22 games, 64 points out of 66 haijawahi kutokea kwa ligi zote 5 kubwa Ulaya. The Invincibles ambao walimaliza ligi bila kufungwa mpaka muda huu walikuwa tayari wana droo 5.
Aint that enough kusema Liverpool have been exceptional at least for this period?
Liverpool is not exceptional, hiyo nakubaliana na wewe.
Lakini we all agree kwamba ana records ambazo anaziweka sasa hivi ambazo tunaambiwa haijawahi kutokea toka EPL ianze.
Na kama ni case ya kwamba Liverpool siyo exceptional kwa ubora, basi wapinzani wako exceptional kwa ubovu.
22 games, 64 points out of 66 haijawahi kutokea kwa ligi zote 5 kubwa Ulaya. The Invincibles ambao walimaliza ligi bila kufungwa mpaka muda huu walikuwa tayari wana droo 5.
Aint that enough kusema Liverpool have been exceptional at least for this period?