Rashford kaifunga Liverpool goli tatu Martial kaifunga Liverpool goli mbiliSema had wakina salah wanakimbia wanavua mashat manchester united sio kitoto fikiria ka rashford kamefumua liverpool hakana hata mzuka wa kuvua shat
Huyo jamaa pamoja na kumuonaga ni mtu wa mpira ila kumbe anashit nying kuna siku kaandika ujinga eti" Liverpool wa kawaida inabebwa na kocha na juhudi za wachezaji " sasa nikajiuliza ukubwa wake wote kumbe hajui maana nzima ya teamKuna Bahati na Ubora,Hakuna timu ambayo haina Bahati ,Unataka kuniambia Last season Manchester city anachukua Treble ilikuwa ni Bahati ile au ulikuwa ni Ubora timu,Mpira ni mchezo wa makosa ukikosea una adhibiwa Ni timu gani inabahati ya kucheza mechi 22 Bila kupoteza kama sio ubora wa timu Mkuu.Sometimes kwenye Credit toa pongezi Fergie ametawala Premier league zaidi ya miaka 13 na ile ilikuwa ni Bahati.
Pamoja na mapungufu hayo, pamoja nakua na majeruhi bado timu inasua sua kusajiri✓Guys am sorry..but James ni useless,,anacheza kwenye flank na hawezi kudribble hata kumpita beki mmoja,anategemea pace tu..tunahitaji mtu mwingine anayeweza kuoffer vitu vingi zaidi
✓Perreira hawezi kukaa na mpira,hawezi kutoa pass nzuri,,hawezi kuwin back mpira,anachokiweza huyu dogo ni nini??..very very poor
Key player wenu Rashford amewahi japo kupata goli moja pale Anfield? McTominay anao ubavu wa kumzuia Big Virgil asipige kichwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ya leo toka muda nilijua itakuwa dhaifu sana kufuatana na majeruhi sehemu muhimu sana sema na sisi tumeruhusu magoli ya kipumbavu sana tofout na vile mashabik wa liverpool walivyokuwa wakitamba hapa kama wataupiga mwingi mwisho wa siku bahat tu
Sema mech ambayo ilinipa kizuzungu ile ya manchester city tunakula chuma 3 kipindi cha kwanza jamaa walitunyanyasa sana liverpool kama tungekuwa na key player walah wangelimia meno vile tu ka timu kapo na shaw wanalialia tu had salah alipopata goli bahat wakapumua
Kwa nilichokiona leo wachezaj tunao shida ni mbinu za kocha tu abadilike huwez muacha mtu kama mata bench ukampanga pereira wakat mata mech mbili za mwisho kacheza vizur sana kumkosa scott na rashford pengo kubwa sana
Huyo jamaa pamoja na kumuonaga ni mtu wa mpira ila kumbe anashit nying kuna siku kaandika ujinga eti" Liverpool wa kawaida inabebwa na kocha na juhudi za wachezaji " sasa nikajiuliza ukubwa wake wote kumbe hajui maana nzima ya team
Ndo maana akaandika shit kam hiyo .
Sio umetuachia sema uwezo huna.tunanyanyua kwapa tu sisi
Of course Man City kwa sasa ndio naona ametuzidi uwezo dhahiri, tukimpiga inakuwa kama tumuotea tu
Liveroool walikuwa clinical kule mbele na bahati imechangia lakini ni wa kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbovu zote bana manchester city ni timu nzur sana sema mpira unakwenda na bahat kuna muda bana kwa sasa liverpool bahat ipo kwenu lakin manchester city anaupiga sna kwa england
Rashford kaifunga Liverpool goli tatu Martial kaifunga Liverpool goli mbili
Rashford kaifunga Liverpool katika mechi mbili tu na Martial katika mechi moja na tena EPL debut
Niambie mbabe wa Liverpool ni Sane nitakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejibu kwa jinsi jamaa alivyotakiwa kujibiwa.
Maana kasema ni ya kawaida ndiyo mimi nikamwambia itakuwa wapinzani ni wa kawaida zaidi
Jamani nani kafuatia mjadala wa SKY SPORTS kina Kean na Evra wanavyolalamika na Streaker
Ndio maana nakuambia hauna sababu yenye mashiko Sasa ww nadhani kazi ya kocha ni nini labda? maana sijaelewa mantik yako hapoLiverpool ni kocha acha mbwembwe wewe kila mmoja anajua kajitahidi kuokota wachezaj kawaunganisha na mbinu zake nzur kabla ya klopp liverpool wamesajili sana lakin hamna kitu we mwenyewe unajua bila klopp unafikir liverpool ingekuwa pale? Unataka kuniambia liverpool imenunua top playes ambao wameiinua? Siri ya liverpool ni kocha na wachezaj kujitoa usajili unaofanywa na barcelona,manchester united na real madrid ni sawa na liverpool?
Mmesahau kabisa chamberlain kacheza sijui misimu 7 arsenal kafunga sijui goli mbili leo liverpool ana goli ngap?
Kusema liverpool ya kawaida sana hapana hata mimi nakataa hata kama kuna muda mlipotea ile mech kubwa wachezaj wote wanakuwa na moto pia sijawah kuona mech za hawa jama zinakuwa nyepesi haijalish mmoja yupo kwenye halai gani kwa mfano kuna mech tulipata injury tatu kipindi cha kwanza lakin unaona watu walivyokaza
Ndio maana nakuambia hauna sababu yenye mashiko Sasa ww nadhani kazi ya kocha ni nini labda? maana sijaelewa mantik yako hapo
Haya unasema Liverpool haispend pesa kubwa kwenye usajili hawa wachezaji je?? (VVD,FABINHO,ALLISON, )
Huyo klopp unafikir ni mjinga kufumua kikosi karibia chote ? Kwann asibaki na kina Klavan, mignolet,benteke,moreno, sako?? Na gharama alizo spend mpk sasa ina maana huzijui nazo??
Mechi ya Liverpool vs Man Utd ina vibe ya tofauti sana.
Ile game ambayo tulitoka 0 - 0 huku Man Utd amemaliza sub ndani ya dakika 25 za mwanzo ni kipimo tosha.
much possible hujawahi kuangalia game za liver na utd kipindi cha SAF, mechi hizo huwa haziamuliwi na nani yupo form au hayupo....... nyingi ya mechi hizo ziliisha kwa ushindi wa GD ya 1 au 2..........haijalishi nani yupo vipi!It true hii looserpool ya kawaida mno, huwezi ifananisha na Great Manchester United ya Sir Alex, jinsi Manchester ilivyo mbovu ilipaswa looserpool washinde goli hata 8 - 0
Yaani hata Sir Alex uko alipo anashangaa kwann looserpool wanaongoza ligi? Nafikiri mwisho wa dunia umekaribia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nakuambia hauna sababu yenye mashiko Sasa ww nadhani kazi ya kocha ni nini labda? maana sijaelewa mantik yako hapo
Haya unasema Liverpool haispend pesa kubwa kwenye usajili hawa wachezaji je?? (VVD,FABINHO,ALLISON, )
Huyo klopp unafikir ni mjinga kufumua kikosi karibia chote ? Kwann asibaki na kina Klavan, mignolet,benteke,moreno, sako?? Na gharama alizo spend mpk sasa ina maana huzijui nazo??