hapo inategemea kipaombele cha mwalimu husika, dirisha lililopita mwalimu aliamua kuingia sokoni kwa lengo la kuimarisha safu ya ulinzi na alitumia takribani paundi millioni 130 kwa wachezaji wawili (wan bissaka na maguire), kwake aliamini eneo linalotusumbua zaidi ni ulinzi huku akijibebesha matumani viungo wake (pogba, perreira, lingard, fred) watazidi kuimarika
ukiniuliza mimi kipaombele changu cha kwanza itakuwa ni viungo wachezeshaji japo wawili pamoja na winga, kiupande wangu naliona tatizo kwenye maeneo hayo
nikikuuliza wewe huenda kipaombele chako utaniambia tatizo letu kubwa tunalopaswa kulitatua ni striker mfano wa haaland ndipo tuangalie nafasi nyenginezo.
mwenye maamuzi ya mwisho anabaki kuwa ni mwalimu husika na ndiye anayefahamu hali ya kifedha iliopo klabuni.
huwezi jua pengine ole alimuhitaji haaland na hata bruno fernandez lakini tatizo ni hela.
kwa huu mwenendo wetu kwenye soko la usajili itatuchukua miaka miwili kusajili nafasi hizo.Tunahitaji RW(Proper right winger au mshambuliaji wa kutokea kulia),,Tunahitaji Kiungo mchezachaji(x2) given pogba is leaving,,Tunahitaji Kiungo mkabaji,,Tunahitaji deadly straiker..Tofauti na hapo hakuna tutakachokifanya zaidi za kuzurura nafasi ya saba na ya nane huko..
Sijawahi kuwa na imani na martial mzembe sana halafu timu inashida sana eneo kiungo naonaga makocha wengi huwa wanaanza kujenga kiungo na mabek hii timu na uongozi sijui wanawaza nini yaani lingard na perreira wanaweza kuwa wabunifu wetu?
Ole anastahili lawama kubwa.
Mosi anaridhika na kikosi chake wakati ni wazi tunahitaji 3 classic players.
Pili Jose asingekubali huu upuuzi wa kumtetea CEO kwa uzembe na angesema hadharani.
Tatu RW ni tatizo la muda mrefu sana sijui kwanini tangu Moyes hadi sasa bado tuna sua sua
Nne Ilikuwa ni ujinga wa kiwango cha SGR kubadili kocha kila mara.Matokeo yake kila tukibadili kocha tunaanza upya kuanzia mfumo na aina ya wachezaji kwaajili ya mfumo mpya.
Tano Pogba ni mchezaji mzuri sana lakini kama anataka kuondoka nadhani ni vyema akaachiwa aondoke mapema.Sioni mantiki ya kuendelea na Pogba wakati wapo wachezaji wengine wengi tungeweza kuwa nunua kwa fedha za mauzo yake.
Mwisho nadhani tuendelee na hii project ya Ole labda tunaweza kufurukuta mwakani hasa tukizingatia aina ya wachezaji alionunua wote wako vizuri pia kiwango cha Fred kimepanda kipindi chake.
Tusikate tamaa msimu huu ni Liverpool hilo halina mjadala tena.
Mashabiki kindaki ndaki wa Man tuendelee ku support team yetu.
Yani nyie binadamu wa ajabu sana. Mngeshinda mngesema timu pekee hamjafungwa na Liver, mngeongea mpaka midomo ikae upande, Liver wameshinda mnasema mnashangilia kuifunga the weak Manchester. Sasa mlikuwa mnataka tusinmshangilie bali tulie ama? Kama ni dhaifu mlitaka tusiifunge ili mseme tumewashimdwa au??Funy, jamaa wanafurahia kuifunga one of the weakest Man Utd in many years.... The weakest team without their 3 best players
Funny Klop aliponda Man Utd ku defend deep na kufanya counter attack, kitu alichofanya yeye hususani kwenye goli la pili
Funny Klop aliwahi kusema itakapofika wakati anatakiwa kununua mchezaji kwa pound milioni 70,80.....100 ataachana na soka kabisa (wakati Pogba amenunukiwa), Baada ya mwaka akamnunua VVD, beki kwa kiasi cha kuvunja rekodi
Maisha bila unafiki yanawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shughuli ya vvd si umeiona lakini?au na ww unajifanya huioniFuny, jamaa wanafurahia kuifunga one of the weakest Man Utd in many years.... The weakest team without their 3 best players
Funny Klop aliponda Man Utd ku defend deep na kufanya counter attack, kitu alichofanya yeye hususani kwenye goli la pili
Funny Klop aliwahi kusema itakapofika wakati anatakiwa kununua mchezaji kwa pound milioni 70,80.....100 ataachana na soka kabisa (wakati Pogba amenunukiwa), Baada ya mwaka akamnunua VVD, beki kwa kiasi cha kuvunja rekodi
Maisha bila unafiki yanawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Maguire anam-mark VVD kwenye Corner na kashindwa kumzuia kufunga. [emoji23] [emoji23] alafu anakuja na hoja tunafurahia kuifunga machester dhaifu. Sasa sjui wao walivyokuwa wanatufunga kipindi cha kina Borini, Lambert, Ballo etc walikuwa wakilia badala ya kushangilia ama?Shughuli ya vvd si umeiona lakini?au na ww unajifanya huioni
Njoo uongee tena sasa.Game ya mwisho dhidi ya Liverpool, jamaa anaangalia kama mshika kibendera atasaidia View attachment 1326545
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nyie binadamu wa ajabu sana. Mngeshinda mngesema timu pekee hamjafungwa na Liver, mngeongea mpaka midomo ikae upande, Liver wameshinda mnasema mnashangilia kuifunga the weak Manchester. Sasa mlikuwa mnataka tusinmshangilie bali tulie ama? Kama ni dhaifu mlitaka tusiifunge ili mseme tumewashimdwa au??
Sent using Jamii Forums mobile app
About being weak, it is your fault. Not ours.Nyie shangilieni kwa raha zenu, na sisi tunaongea kwa raha zetu Mkuu
Ila ukweli unabaki pale pale and you know that the team you beat is one of the weakest United team you ever play against
Sent using Jamii Forums mobile app
Maguire anam-mark VVD kwenye Corner na kashindwa kumzuia kufunga. [emoji23] [emoji23] alafu anakuja na hoja tunafurahia kuifunga machester dhaifu. Sasa sjui wao walivyokuwa wanatufunga kipindi cha kina Borini, Lambert, Ballo etc walikuwa wakilia badala ya kushangilia ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya yote kwanza,Habari yako.
Atasema nimeacha kushabikia man u naenda LiverpoolNimeacha kuishabikia Arsenal kwa hiyari yangu mwenyewe, naenda kula maisha Manyumbu huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Haikua na maana, ilikua dk ya 93, tuko nyuma goli moja. Angepewa red, ange miss the next three matches, wakati baada ya japo ni kipenga cha full time.
Sasa km ni dhaifu si mjitoe kwenye ligi mpk mtakapokua strong ndio mrudi.waachieni wapambanaji Watford hio nafasiNyie shangilieni kwa raha zenu, na sisi tunaongea kwa raha zetu Mkuu
Ila ukweli unabaki pale pale and you know that the team you beat is one of the weakest United team you ever play against
Sent using Jamii Forums mobile app
Maguire hajam-mark VVD kwenye ile kona ya goal, dogo Williams na Fred ndio walikua karibu.Maguire anam-mark VVD kwenye Corner na kashindwa kumzuia kufunga. [emoji23] [emoji23] alafu anakuja na hoja tunafurahia kuifunga machester dhaifu. Sasa sjui wao walivyokuwa wanatufunga kipindi cha kina Borini, Lambert, Ballo etc walikuwa wakilia badala ya kushangilia ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatushauri tulie au?Nyie shangilieni kwa raha zenu, na sisi tunaongea kwa raha zetu Mkuu
Ila ukweli unabaki pale pale and you know that the team you beat is one of the weakest United team you ever play against
Sent using Jamii Forums mobile app