milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
HAHAHAHALeo nimemkumbuka sana yule babu LVG
LVG aliojiwa akasema tatizo la utd ina viongozi sio wanamichezo/sio watu wa mpira kama uongozi wa timu kama bayern, barca, juve, etc
Akaongeza akasema kama yule woodward kasomea Banking, hajui chochote kuhusu footbal
Kina Glazer wanangalia faida tu na sio matokeo
Hapa wife ananiambia upendo naoipenda utd niuamishie kwake, namuona ana point ya msingi kwa kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yako ya kawaida sana, hamna lolote japo mmeshindaHuelewi kwanini wanaongoza league? Tena kwa tofauti ya mapoints kedekede.[emoji1] [emoji1] [emoji1] hao wazuri ni kina nani sasa na mbona hawaongozi hiyo league? Toaga compliment mzee,
Sent using Jamii Forums mobile app
TUWEKEEEE MSIMAMOOOTunasumbuka kumnunua yule mtoto wa Ureno kama kiungo, na wala hatuangalii wafungaji. Inaweza ikapita tena January hii na Ole asinujue mtu wa kariba ya Lukaku, mtu mwenye uchu wa goli. Tukaishia kukimbizana na viungo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na adabu mimba alipewa mama yako ukazaliwa wewe.
LIVERPOOL 2 -0 MANCHESTER UNITED FULL TIMENaisevu hii Comment saa 3 ntakukumbusha hauna kikosi cha kumfunga LIVERPOOL narudia hauna hicho kikosi tena ANFIELD
Sent using Jamii Forums mobile app
DUH ILA MIMBA MMEPEWA KUBALIKuwa na adabu mimba alipewa mama yako ukazaliwa wewe.
Mwanamke BABA AKO.
Yako isiyo ya kawaida ipo wapi? Na nyie wote ligi nzima mnaruhusu vipi timu ya kawaida inaongoza kwa points nyingi hivyo?