Another big mistake from OGS,Maguire ameumia na huenda akawa nje kwa muda wa mwezi mmojaHUYU KOCHA MZITO SANA KUFANYA SUB, MAGUIRE KAUMIA ANACHECHEMEA, MPAKA COMMENTETOR WANASEMA ATAUMIA ZAIDI NA ATAMISS MECHI ZIJAZO. AMPUMZISHE MAPEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi player akiwa uwanjani akasikia maumivu, mwenye maamuzi ya kuendelea kucheza ni kocha au player mwenyewe.Another big mistake from OGS,Maguire ameumia na huenda akawa nje kwa muda wa mwezi mmoja
Hadi Ashley YOUNG hawataki amegomea kuongeza muda wa kuwa hapo hahahahhahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha anayepanga kikosi anaweza kumtoa mchezaji wakati wowote akitaka ,kwenye case ya kuumia daktari wa timu ndio anamshauri kocha kuhusu kumpummzisha mchezajiHivi player akiwa uwanjani akasikia maumivu, mwenye maamuzi ya kuendelea kucheza ni kocha au player mwenyewe.
Sent using simu mbovu
Sasa litimu letu linataka kumbakisha wakati watu tumefurahi liondoke
Medical team ndio wanahusika hapoHivi player akiwa uwanjani akasikia maumivu, mwenye maamuzi ya kuendelea kucheza ni kocha au player mwenyewe.
Sent using simu mbovu
Mkuu unajua ashley young ndio most creative player man UTD kwa sasa?Yaani hii timu imekuwa ya ovyo sana..Nani aliyetoa wazo la kumwongezea mkataba Ashley Young??..Bora tu hata amekataa
Juzi umesema Maddson Leo imekuwa bruno
Hizo stats hazina maanaMkuu unajua ashley young ndio most creative player man UTD kwa sasa?
Pia ni senior amecheza since Saf, hapati majeruhi ovyo, ana nidhamu etc kifupi jamaa ni bonge la proffesional.
Luke shaw haaaminiki sasa hivi unasikia pancha miezi 9, ujue anabaki tu dogo william asie na uzoefu sana.
Nimeona Cameroon Borthwick jackson ameitwa kutoka kwenye mkopo pengine sababu ni hii. 0
Ni kweli mkuu kunatakiwa usajili, ila mpaka waje kwanza hao wachezaji wapya, kikosi chetu sasa hivi ni chembamba sana, city wanamuacha zabaleta wana Danilo, Walker na dogo mwengineHizo stats hazina maana
Hawa wazee hawawezi wakatuimprove kivyovyote..mambo ya sijui ni proffesional hizo ni ngonjera tu
Tuingie sokoni tusajili watu..hiki kikundi cha wachezaji tulichonacho yeyote ambaye atasema hataki kubaki hakuna haja ya kumbakiza,isipokuwa wachezaji kadhaa tu
Tumejifanya sisi tunajua sana proffesionalism na ndo maana City kwenye miaka hii kumi wanatukimbiza tu kama watoto..Zabaleta, na wengine wengi tu waliondoshwa kwa kuona hakuna kipya wanachoweza kuoffer..