hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,035
Home and away lazima muhitaji kupunguza idadi ya magoli ndo maana sihitaji zifike 10.Hata 10 who care?
Ila uzuri wa sisi japo timu yetu inavurunda lakini tupo hapa hapa ktk uzi wetu hatukimbii, ila nyie mkifungwa tu kwenye uzi wenu hamuonekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua hayo majigambo ni huku Iran ndo nayaskia kumbe hadi huko kwa uncle dah !Eee man yu mmeshikwa pabaya ,yale majigambo ya kuwa ninyi ni wababe wa big match yanaendelea?
Ngoja ngoja tutakupa idadi mkuuLeo Mbona kazi ipo Nilijua tunafungwa ila ngap sjajua bado.
Huyu jamaa ana wakati mgumu kuliko wachezaji wote pale united kwa sasa. Naona katolewa kaingia matic.
ACHA UMBUMBUMBU..INGIA KWENYE MITANDAO SEARCH TIMU KUBWA UTAPATA JIBU, HALAFU UANGALIE KAMA UTAIKUTA HIYO ARSENANE YAKO
Ukubwa wa nini we Nyumbu. Hivi ujui kikos chako nidhaifu hata kwa hao wolves, resistercity.....
Kuna moja kapenyezewa kwenye 18 ajabu kagonga kisigizo kurudisha kwetu wakat city anaongoza moja ile pasi alipewa na greenwood.Kipindi cha pili tumecheza vizuri, lakini imekuwa too late
Matic alipoingia na Lingard kutoka katikati tukapashika, kitu ninachojiuliza OGS haoni aibu kumpa nafasi Lingard kila mechi wakati kwa sasa namba 10 wetu bora ni Pereira?
Ukiacha stats za Lingard kutokufunga au kutoa assists amekuwa our best player in loosing possession katika mechi nyingi
Cha ajabu na kweli, Lingard next mechi atakuwepo tena first 11 na half time ataona hafai na kumfanyia sub
Fred was Man Utd man of the match na kiukweli wenzake hawamtendei haki katika kuisaidia timu
Sent using Jamii Forums mobile app