Nakumbuka yule babu anaitwa Harry Rednap ligi kabla haijaanza alifanya uchambuzi sky sport akapendekeza manchester united ifanye usajiri wa wachezaji saba kuziba mapungufu, na akaonya endapo Ogs hacposajiri idadi iyo tutakua na msimu mgumu sana, mim sikumuelewa kabsa yule babu, leo nakumbuka maneno yake
Wakati naandika hii text tunafungwa la pili, duuh
Tunaweza kula mkono hii game
Washabiki wa liverpool na asernal tuwaombe watufundishe mbinu za sisi fans wa utd ya kuwa wavumilivu, wao waliwezaje
Sent using
Jamii Forums mobile app