Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumezidiwa kila kitu..ukichanganya na uchezaji wa papara papara wa akina Rashford basi ni tabu tupu..

Shaw nilisema wiki iliyopita kuwa ni useless,
 
Shaw sijawahi kumwelewa lingard mtumishi hewa tuko pungufu tu huko yaaani sijui kama lingard kapiga hata key pess kwenda kwa martial unakuata yakina scholes hayamzungumzii kabisa walikuwa wanapambana na lukaku tu
 
Sijui de gea nae alikuwa anampangulia nani ule mpira
 
Tokea ligi inaanza, kila mwezi lazima tuchezee kichapo. Naona January 2020 hatujataka kungoja sana kabla ya kupokea kichapo chetu cha mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…