Sasa kama yeye hataki kubaki OT unadhani sisi tufanyaje??..piga bei,leta chuma nyingine..simple mathematicsTUMEPATA PIGO BAYA SANA KWA KUONDOKA POGBA...TIMU SASA INA WACHEZAJI WA KAWAIIIDAAA KAMA ARSENAL, HATUNA MTU WA MAANA PALE KATI.POGBA KUWEPO TU KWENYE FIRST ELEVEN TIMU PINZANI HAWAKAI KWA RAHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio rahisi wachezaji wetu wote wacheze at once...Wakuu mwenye updates za academy wetu Tuanzebe jamaa yupo vzr sana lkn cmuon ht kweny sub nataman nmuone akicheza n maguire
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata penalty ni magoli imagine angekuwa fit na penalty wanazokosa msimu huu tungepata leo tusingekuwa tunaongelea habari za Top 4.Mkuu ukitoka magoli ya penati Pogba hajafikisha hata goli 7
Kwenye assists ana jitahidi, lakini bado ameachwa mbali na akina Madison na Ericksen
Hapo sijaongelea viungo wa pembeni waliomzidi assists
Kwa KDB hastahili hata bench, yaani mbadala wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mwenye updates za academy wetu Tuanzebe jamaa yupo vzr sana lkn cmuon ht kweny sub nataman nmuone akicheza n maguire
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko serious aseeTUMEPATA PIGO BAYA SANA KWA KUONDOKA POGBA...TIMU SASA INA WACHEZAJI WA KAWAIIIDAAA KAMA ARSENAL, HATUNA MTU WA MAANA PALE KATI.POGBA KUWEPO TU KWENYE FIRST ELEVEN TIMU PINZANI HAWAKAI KWA RAHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata penalty ni magoli imagine angekuwa fit na penalty wanazokosa msimu huu tungepata leo tusingekuwa tunaongelea habari za Top 4.
Goli 13 kwa midfield ni nyingi na hio ni ligi tu ukihesabu mashindano yote anazidi.
Na ukumbuke anafunga hizo goli na assist kama Deep lying plamaker pembeni ya DM, akipewa role ya mbele huwa anafanya vizuri zaidi.
Pia kuna aspect nyengine za Pogba ambazo midfield wengi EPL hawana kama.
1. Aerial prowess- jamaa yupo vizuri kwenye vichwa kuokoa na hata kushambulia
2. Long pass - anapiga pasi ndefu kwa umakini sana na japo anapiga pasi ndefu nyingi ana accuracy kubwa ya Pasi kuliko Ericksen
3. Dribling- kuchukua kijiji kwa pogba ni kawaida.
Kifupi mkuu msimu uliopita ni Hazard pekee aliewin point nyingi (point 20) kuliko pogba (point 19) katika ligi ya uingereza.
Na kuanzia Epl wenyewe, mpaka source za nje kama Whoscored wamemuweka Pogba kwenye kikosi bora cha msimu. Na si KDB wala Ericksen.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mi mwenyewe nakubali pogba ni mchezaj mzur ila ujeur kazidi anaharibu umakini kwa wenzieHata penalty ni magoli imagine angekuwa fit na penalty wanazokosa msimu huu tungepata leo tusingekuwa tunaongelea habari za Top 4.
Goli 13 kwa midfield ni nyingi na hio ni ligi tu ukihesabu mashindano yote anazidi.
Na ukumbuke anafunga hizo goli na assist kama Deep lying plamaker pembeni ya DM, akipewa role ya mbele huwa anafanya vizuri zaidi.
Pia kuna aspect nyengine za Pogba ambazo midfield wengi EPL hawana kama.
1. Aerial prowess- jamaa yupo vizuri kwenye vichwa kuokoa na hata kushambulia
2. Long pass - anapiga pasi ndefu kwa umakini sana na japo anapiga pasi ndefu nyingi ana accuracy kubwa ya Pasi kuliko Ericksen
3. Dribling- kuchukua kijiji kwa pogba ni kawaida.
Kifupi mkuu msimu uliopita ni Hazard pekee aliewin point nyingi (point 20) kuliko pogba (point 19) katika ligi ya uingereza.
Na kuanzia Epl wenyewe, mpaka source za nje kama Whoscored wamemuweka Pogba kwenye kikosi bora cha msimu. Na si KDB wala Ericksen.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ndio wachezaji alionao, anakosa optionsMi mwenyewe nakubali pogba ni mchezaj mzur ila ujeur kazidi anaharibu umakini kwa wenzie