Best improved player of the season so far kwa upande wetuHuyu mwamba atajwi tajwi sana ila ndio mchezaji wetu muhimu sana pale kati, timu ishinde/ifungwe mwamba lazima aonekane, ana mapafu anazurura uwanja mzima, kafanya tumsahau kidogo pogba
Jana kafanya mtu mzima Matic awe na kazi rahisi pale kati
kipindi yupo shartar donesk Pep alimtaka ila Mou akawai japo Mou alishindwa mtumia na soka lake la kupaki bus
Nina amu kuona viungo watatu wakicheza pamoja either
Fred/Scot/Pogba au
Fred/Matic/Pogba
View attachment 1306366
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi hilo ndo jambo ambalo inabidi ajitahidi..ukiamua kushoot basi jitahidi ufikie target..Wachambuzi wa wachezaji embu naomba mchambue uwezo wa Fred pale katikati mwa dimba letu.
Udhaifu wake, kwa mimi naona long range shuti zinasumbua, ata target kweny goli shuti zake zinasumbua
ukimtaka James huyo unaemzungumzia basi abadilishiwe upande atakuoffer vitu vingi zaidi
Yametia, London stadium/wagonga nyundo wafungashia virago mwalimu wao/ ambaye time kwenye kumbukumbu za walimu waliowahi kubeba ndoo ya EPLMambo Ni
Kunakofukuta kwingineko
The hammers wa pande za Upton park zamani...
Toffee wa pale Kati Midland, godson park
Ongeza na wewe list ya kwenye mwishi......
View attachment 1276206
Maua ya man united jukwaani hapa sijui wamekumbwana na nani warembo wetu hawa !
Wakuu kwema humu.
Mino, kamchuuza huyu dogo Haaland, kwa tamaa zake, Manchester United wamekataa biashara kicha Mino anataka £12m hiyo pesa si unapata James mwingine
Tukishinda michezo 7 mfululizo liverfool hawa hapa tunaanza kuwatia presha kwenye kugombea ubingwa,kimahesabu bado tunawania ubingwa kama timu nyingine.
GGMU
Rashid ana goal ngap saiv??Bado ngapi Ollachunga atoke humu?
Kituko cha karne. Na ww wakati unashinda wengine wote wamesimama kukungoja?Tukishinda michezo 7 mfululizo liverfool hawa hapa tunaanza kuwatia presha kwenye kugombea ubingwa,kimahesabu bado tunawania ubingwa kama timu nyingine.
GGMU