Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ko mkuu unadhani hapendi kufanya subs au hakuna wa kuingia....anayeingia na anayetoka sawa tu.....
 
Na kuna watu wanasema pogba ni kirusi aondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata Europa hatuwezi kuchukua(kucompete properly)..like serious??...Yaani Ac Milan aliyepigwa tano jana na Atalanta naye tunamhofia..Basi inabidi hii timu ivunjwe kila mtu akafanye mambo yake
 
Duh! Leo umeamua kumuwakia De gea,
Mtizamo wangu, kosa la jana ni la kawaida kama mwanadamu. Lakini pia usisahau, umaarufu wa De gea kama GK ni saves zake za maana kwa UNITED. Unadhani kwa nini si Romero?

Usiteme Big G kwa karanga za kuonja.
Nakumbuka pia na saves za Romero, sio za Degea peke yake

Najaribu kukumbuka mistakes za Romero, kumbukumbu haiji

Halafu, mistakes huwa zipo tu, lakini zinapozidi lazima tuhoji kiwango cha mchezaji husika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ko mkuu unadhani hapendi kufanya subs au hakuna wa kuingia....anayeingia na anayetoka sawa tu.....
Yote mawili ni sawa mkuu..hana watu na hataki kusajili ingawa pia anakuwa hawezi kubadilisha mbinu na wachezaji kulingana na adui anayekabiliana naye kwa wakati huo.
 
Kazi ya Lingard ni kupress,anafaa kwa timu kama city zinazoanzisha mashambulizi tokea nyuma,lakini siku ya mechi na westham unakuta naye yumo kikosini halafu mata/gomez wanaota baridi benchi...unabaki kuomba miujiza tushinde tu.
 
Ole hana plan. Hana uzoefu. Huwezi ku approach game vs Watford the same way una approach game vs City or Liverpool.

Timu ikishakua ina lay low kwenye zone yao, hakuna mbinu m'badala ya kuweza kuwa unblock, huwezi kupata goals kwa njia ile ile ya Counter Attack kwenye kila mechi.

Hatuwezi kunyumbulika sababu hatuna wachezaji wa aina hiyo zaidi ya Pogba (simueki Mata as yuko past his days) na hapo hapo Ole anatoa statements zinazoashiria hatuwezi kusajili January hii.

Hii inaonesha ni jinsi gani huyu mwamba anapiga pata potea na timu yetu, unless abadilike lakini hali itaendelea kuwa vivi hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule "jini" aliyekuwaga Liverpool FC ndiyo yupo Man U sasahivi, itawachukua miaka kibao sana kurudi kwenye ule ubora wa enzi za Ferguson.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kazi rahsi kufanya hayo maamuz kama unavyofikria
 
Mkuu mechi hiyo hiyo maeneo hayo hayo alifanya hivyo hivyo akafanikiwa ,sasa watamlazimisha delay ataacha mwenyewe tu ,tupo hapa kukumbushana
 
Yote mawili ni sawa mkuu..hana watu na hataki kusajili ingawa pia anakuwa hawezi kubadilisha mbinu na wachezaji kulingana na adui anayekabiliana naye kwa wakati huo.
angekuwa anasimama kuwahamasisha wachezaji,watu wanaoona hakuna umuhimu kusajili wa strikers ndio muone umuhimu wa kusajili, hii timu inatakiwa iendelee kusajili tuu, kuna wachezaji watatakiwa wafungashe virago wkt ukiwadia, masho anatakiwa ajue anaweza akakosa namba, pogba anatakiwa ajue, fred anatakiwa ajue, degea anatakiwa ajue, hakuna mchezaji muhimu kuliko timu, nashangaa degea anakuwa anttachble, Pogba hagushwi

Ona Rashford,anajitahidi but when you are 20 yard why are you kissing the keepers, why ain't you fuc.k kick? Ole is now trying to feel Rashford is untachable, i real don't give a shit.
Ni upumbavu, halafu wote tukae tuamini hivyo?? Never. Hata ole anatakiwa ajue anaweza akafukuzwa vile vile, yule mpuuzi anayejiita agent wa pogba pamoja na upuuz wake alisema kweli, wamarekani wanatanya biashara sio soka.

Nilichojifunza, the so called first eleven kwa utd ikicheza tu tunapoteza, wakichezeshwa mchanganyiko, yaani ondoa pogba, ondoa kabisa mashal benchi, weka James pembeni, weka perreira ndani japo anazunguka, i swear fred na MacTommary wanakosa sapoti. AWb anakosa sapoti na magwaya, lkn nawaona wamekuja kikazi, ukitoa watoto wa akademi hao wengine tupa kule. Tunashinda mechi. Ole anafeli kwenye kuwapa kichwa anadhani ni best players on the planet sio kabisa.

First eleven inaendelea kufanyiwa majaribio, wakicheza wakali wote wa utd why tunafeli??

Lack of commitment, seriousness 90 min why can't you fuc.k your opponent, ndio maana natamani kocha wa utd awe Roy Keane,he could hav kicked your ass kwenye changing room, Kean is good man, ole is very soft, he is doing ok on encouraging but he have to turn the other side, do then, fire Pogba, who are you afraid from?
 
Mkuu umeandika kwa hasira sana,pole sana.
Ole anakera sana na watoto wake pale united.
 
Mkuu chini ya ole na jinsi timu inavyocheza hapa hakuna cha Top four wala ubingwa wa Europa trust me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…