Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uwe unakumbuka pia saves zake. Anafanya mistakes sawa hatukatai, Je?, ametuokoa mara ngapi dhidi ya hizo mistakes?. Oliver Khan alifungwa goli na Ronaldo WC. Mistakes ni jambo la kawaida mzee kwenye mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe unakumbuka pia saves zake. Anafanya mistakes sawa hatukatai, Je?, ametuokoa mara ngapi dhidi ya hizo mistakes?. Oliver Khan alifungwa goli na Ronaldo WC. Mistakes ni jambo la kawaida mzee kwenye mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini pakawepo mfumo wa sheria?
ingelikuwa mtu anafanya kosa then anaomba radhi kwa kukumbushia yale mema aliyoyatenda

ndani ya mwaka mmoja david degea ameshafanya makosa takribani mara 6
anapaswa awajibishwe japo kwa njia ya kukaripiwa na mashabiki uchwara kama sisi
 
Nyie jamaa mna mpango gani na OGS?

Hivi kweli mnoana OGS atawafikisha kwenye chat?

Faneni maamuzi haraka, Pochettino yuko kitaa anasubiri kazi.
 
Ni matatizo ya watu walioanza kubet kabla ya kupenda mpira...betting imewaingiza kwenye mpira
japokuwa hatufahamiani lakini si ajabu unaweza kukuta humu ndani kuna watu walishabikia mpira miaka mingi iliopita kuliko hata wewe unayeonyesha dharau kwa sababu ya michango yao.

Mc cane ni kweli betting imekuingiza kwenye mpira?
PTER na wewe umeshabikia mpira kwa sababu ya mikeka?

halafu binadamu hatufanani kiumri
 
Nakumbuka pia na saves za Romero, sio za Degea peke yake

Najaribu kukumbuka mistakes za Romero, kumbukumbu haiji

Halafu, mistakes huwa zipo tu, lakini zinapozidi lazima tuhoji kiwango cha mchezaji husika
Uwe unakumbuka pia saves zake. Anafanya mistakes sawa hatukatai, Je?, ametuokoa mara ngapi dhidi ya hizo mistakes?. Oliver Khan alifungwa goli na Ronaldo WC. Mistakes ni jambo la kawaida mzee kwenye mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Msimu uliopita huyu mwamba alifungwa magoli mengi sana.

Msimu huu pia anafungwa goli nyingi mpaka sasa GD 4 tu what a shame !!

Lakini pamoja na mapungufu ya golikipa mimi nafikiri hata defence yetu ina mapungufu yake ambayo yanakuwa exposed zaidi tunapocheza na timu tunazozidharau.

Hivi Lindelof na Maguire nani anapaswa kuwa last defender nawaona wakipanda wote wanaenda mazima, wakihamia upande mmoja wote wanaenda mazima why ?

Hivi mbona Fullbacks zetu hazifanyi kazi yoyote tunapocheza na timu ndogo zinatupa mipira hovyo hovyo bila kuwa plan yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kubet mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwa kuwa alifanya saves za maana kwenye mechi za mwaka juzi, basi tuendelee kuvumilia makosa ya kizembe yanayojirudia rudia

Halafu, hivi kwanini huwa kuna back up golie, au kwenye kila namba kuna back up?

Huyu huyu Degea, ameanza kutokuwa na uhakika wa namba pale Spain, wanapokezana na dogo wa Chelsea, yote ni sababu ya kiwango chake kushuka

Lindelof alipozingua tulitaka Tuanzebe apewe nafasi, Martial alipozingua tumetaka Greenwood apewe nafasi, Shaw anapozingua tunataka Williams apewe namba, Degea akizingua tukumbuke saves zake, asiwekwe benchi....... WHO IS HE, IS HE A god.

Kwani Pogba hakutusaidia huko nyuma? kwani Martial hakufunga magoli muhimu? kwani Shaw hakufanya blocks muhimu? Lakini Degea haguswi, what kind of thinking is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, watu kama hawa sometime huwa tunanyamaza tu, wanasema hata kimya nalo ni jibu

Kama ulivyosema, ni bahati mbaya/nzuri tu watu humu hatufahamiani
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…