mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Unaposema Ed ndio aliowajri Lvg n Mou unakosea, kuhusu kuwajiri Lvg na Mou ni bodi nzima ndio inapendekeza Manager awe nani, Ed ni Makamu Mwenyekiti kwa cheo chake inamlazimu kutangaza maamuzi ya bodiEd Woodward ndio aliwaajiri kina LVG na Mourinho ambao wewe unasema hawana DNA ya kuifundisha United
Other big clubs in Europe Director of Football(Technical People,I OGS angefaa sana kuwa DOF badala ya Manager) wa United ndio wanahusika na kuajiri makocha na ku-approve usajili wa wachezaji
Ndio maana hata wakibadilisha makocha wachezaji wengi wanaendelea kuwa productive kwa makocha wapya
Na pia makocha wanalazimishwa kuwachezesha hao wachezaji waliosajiliwa na Ed au??Huu mjadala naumaliza hapa mkuu, kama Ed anaweza sajiri mchezaji bila ya pendekezo la Manager basi ManUtd kuna tatizo kubwa sana, japo sihamini kama Ed ana uwezo wa kusajiri mchezaji bila pendekezo la Manager
Kwa mtazamo wako its means David Gill alikuwa ana uwezo wa kusajiri mchezaji bila ya pendekezo la Sir Alex
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kesho tunatakiwa tushinde hata kwa lazimaChelsea kapapaswa tena..inabidi tushinde kesho aisee
Mkuu ManUtd ya sasa ipo ktk mikono salama, itasajiri hata mchezaj wa 100pounds ila typical utd player, sio kina Mou na Lvg walituletea mizigo inayofikiria hela kuliko kuvuja jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau, ndani ya muda mfupi tu Mou alichukua europa na kwenye ligi akiwa wa pili pamoja na hao wachezaji wa kuunga unga, Ole mpe hata miaka 3, hachukui kombe lolote.Ed ni moja ya tatizo ila Lvg na Mou matatizo yao yalikua makubwa
Ugomvi wa Ed na Mou kwenye usajiri, Ed anamshutumu Mou sio mtu sahih kukabidhiwa fungu la usajiri, anasajir wachezaj aged na sio aina ya ManUtd, pia hao hao anashindwa watumia, refer bailly, micktaryan, sanchez, fred, lukaku bolingo
Mou alitaka kumleta Perusic mwenye 29 old kwa pesa nying, Ed alimgomea
Mou katuaribia hadi ratio ya mishahara pale OT, wachezaj aliokua anawaleta anawapa mikataba minono mpaka inaleta mtafaruku dressing room, kila mchezaj kwenye renew contract anataka mzigo kama wa fulani
Namuona OGS akirudisha falsafa za pale Carington, refer alivyozuia usajir wa Diabala, refer new signing alizo fanya this season, Maguire ana miezi minne tu teyar is our captain, leader, play for the badge
OGS is a Alex Furgusons type, usishangae june kirusi pogba kuingizwa sokoni, anamlea now bcoz hana many options pale kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mou hajamsajili fred wala Sanchez mbona hilo ameshalisema siku nyingi, na perisic ni winger alikuwa anahitajika, unamruhusu kocha asajili striker wa kusimama mbele (lukaku) ila unamkatalia asilete winger wa kumlisha unategemea nini?
Na mou alithibitisha kuwa yeye ni mtu sahihi point 81 amefikisha ambazo ni record toka fergie aondoke sawa na point ambazo miaka mingine mtu anachukua ubingwa japo wachezaji wake wengine hakupewa.
Maamuzi mengi aliyotaka kufanya mou tunakuja kuyafanya baadae kwa cost kubwa zaidi.
Tusimtupie tu Lawama Ed Woodward..Makocha nao wanachemsha..
Yaani Sanchez asajiliwe bila kocha kumtaka how??..na alivyokuja tu Martial kapelekwa Right flank ili kum-accomodate Sanchez..unasemaje sasa kuwa Mourinho hakumuhitaji??
Lazima tukubali kuwa makocha nao wanaplay part na sio kila kitu Ed Woordward
Ole amemsajili James unaona kweli huyu dogo ni mpambanaji na anacontribute vizuri kila mechi..Maguire amekuwa hadi Captain..Bissaka naye so far so good..sasa kwenye hii transfer window mbona Ed halalamikiwi??
Huu mjadala naumaliza hapa mkuu, kama Ed anaweza sajiri mchezaji bila ya pendekezo la Manager basi ManUtd kuna tatizo kubwa sana, japo sihamini kama Ed ana uwezo wa kusajiri mchezaji bila pendekezo la Manager
Kwa mtazamo wako its means David Gill alikuwa ana uwezo wa kusajiri mchezaji bila ya pendekezo la Sir Alex
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu seems bado hata huelewi structure ya Man u inavyo operate.Unaposema Ed ndio aliowajri Lvg n Mou unakosea, kuhusu kuwajiri Lvg na Mou ni bodi nzima ndio inapendekeza Manager awe nani, Ed ni Makamu Mwenyekiti kwa cheo chake inamlazimu kutangaza maamuzi ya bodi
Ed ni kama Senzo wa Simba, bodi maamuzi wanayofanya na yeye akiwemo, anayatangaza maamuzi kwa press
Sent using Jamii Forums mobile app
kabla ya kufikia makubaliano ya kumpa mkataba jose mourinho:Ugomvi wa Ed na Mou kwenye usajiri, Ed anamshutumu Mou sio mtu sahih kukabidhiwa fungu la usajiri, anasajir wachezaj aged na sio aina ya ManUtd, pia hao hao anashindwa watumia, refer bailly, micktaryan, sanchez, fred, lukaku bolingo
Mou alitaka kumleta Perusic mwenye 29 old kwa pesa nying, Ed alimgomea
hizi team ndogo tunapaswa tuzifunze adabu ili zikome kutuzowea..Vita nafasi ya 4
Wapinzani wanaofuata kwa Man Utd na Chelsea
Man Utd VS Everton, Watford, Newcastle & Burnley
Chelsea Vs Tottenham, Southampton, Arsenal & Brightom
Kaugonjwa ka mechi ndogo kasiturudie
Sent using Jamii Forums mobile app
hizi team ndogo tunapaswa tuzifunze adabu ili zikome kutuzowea..
dalili zinaonyesha dhahiri ya kwamba chelsea atapoteza alama nne ndani ya mechi nne zijazo
kuna taarifa fulani nimeiona jana inadai ya kwamba matt judge amekutana na wawakilishi wa jadon sancho... kuna ukweli wowote kuhusiana na taarifa hiyo.
Sanchez at Treatre of dreams was a JokeMason Greenwood has now scored more goals (6) in 7 starts than Alexis Sanchez did during his entire time at Old Trafford.
swadakta brotherSanchez at Treatre of dreams was a Joke