Manchester United (Red Devils) | Special Thread

lile buti nmelipenda.
 
Kwahiyo mkuu, ulitegemea to dominate possession vs Man city ???

Hiyo weed watumia imelimwa wapi ??
Nmesema ngoja nitulie... Sijaongea chochote

...... Kama hizo weed unazo nitumie hapa Massachusetts
 
Lile buti ukimpiga mtu kama Juma Nyosso ujue kwenye kona lazima akupime tope tu
 
Kwa sasa Fred akizingua itakuwa sio suala la kuhoji uwezo wake, bali suala la kuwa na bad game

Rashy kama kawaida yake anafunga magoli magumu lakini mepesi anakosa. Over all hizi wiki 4 amekuwa kwenye kiwango kikubwa sana

James ukiacha mchango wake kwenye kushambulia, ana umuhimu sana kwenye kukaba (kama huamini muulize Angelino). Jana ame recover mipira mara 8. Kiukweli tumewaibia Swansea City, huyu dogo sio wa £15m

Scoty being Scoty, Martial being Martial na De Gea being Degea ilituimarisha zaidi

Lindelof jana alijituma sana, Harry aliongoza timu vizuri na alifanya clearence za kutosha kwenye mipira ya juu

AWB anasumaku miguuni, mpira haupiti kizembe anapo block, na forward akishangaa shangaa jamaa ameudokoa na mpira wa 50/50 forward aruke tu maana kwanja litakalopita halitamwacha salama

Naona safari ya Matic January, naona headache kwa OGS, kirusi atakapokuwa fit kumu accomodate

 
Yaani jamaa comment zake inaonekana roho inamuuma sana United kushinda, huyo Pep timu yake haijawahi kuwa na possession ndogo dhidi ya mpinzani wake yoyote........ Juzi dhidi ya Chelsea ndio ilikuwa mechi ya kwanza kuzidiwa possession (hapa naongelea kwa timu zote alizofundisha)

Yaani ni ile kwamba United imeshinda kwa hiyo ni kutafuta hoja za kuokoteza tu, ili kuuchukulia poa ushindi wake
Kwahiyo mkuu, ulitegemea to dominate possession vs Man city ???

Hiyo weed watumia imelimwa wapi ??
 
Pogba ni muhimu sana kwa killer passes. Inabidi acheze juu ya Fred na Scot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…