Timu ndogo ndogo tungekuwa tunazishughulikia kama tunavyowaadabisha hizi timu kubwa, tungekuwa sasa tunazungumzia kuchukuwa ubingwa kabla ya ligi kuisha
Ukinywa konyagi unadhani kila mtu anakunywa? By the way, nilikuwa katika mapumziko ya sabato, na internet nayo nikapiga pending, ndiyo maana sikuona kama mechi ipo.
Walisema mechi dhidi ya Aston Villa, Totenham Hotspurs na Manchester City tungeambulia kupigwa zote au kupata point moja tu, kinyume chake tumepata point 7 Kati ya 9 na kwamba Ole angefukuzwa kwa matokeo ya mechi hizo. Hamisheni goli sasa.