Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo lakin Dean kawa na akili. Ingekuwa Web lazima angebaki na decision ya linesman!

Ingekuwa..ingekuwa za nini tena? Kama ile own goal wangekuwa wamepewa Man U katika incidence kama ile,mngesema ni offside bila hata aibu hapa..keep ur mouths shut hombres.
 
Wakuu vipi sikukuu inaendeleaje .. .... .... ... kuna tetesi ati hawa ndio marefa wa Uingereza .... ..... vipi kuna mtu kamwona mhezaji huyu mpya amesajiliwa kwa mara ya pili .... .....

webbunited.jpg

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Nasikia Bahasha haikufika mapema kwa refa wa leo
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kufungwa na hizo timu haina maana kuwa ndo wapinzani wetu kwa hatuna tunachogombania nao. Man Utd inagombania ubingwa wakati hizo timu including u mnagombania top four position na si ubingwa

Uliona swali au umekurupuka? Wacha kuweweseka!

Ingekuwa..ingekuwa za nini tena? Kama ile own goal wangekuwa wamepewa Man U katika incidence kama ile,mngesema ni offside bila hata aibu hapa..keep ur mouths shut hombres.

Maamuzi mabovu yanapotokea against utd ni sahii ila ikitokea kwa Man U wamebebwa
 
Vijana mbona wananiangusha sasa ... Piga hii mipanzi ya manure urinated
 
Back
Top Bottom