Manchester United (Red Devils) | Special Thread

LONG LIVE MAN UTD... chelsea walikua hawajafungwa nyumbani tukakutana nao tukawachapa....man city walikua na unbeaten record ya 2yrs tumekutana nao kichapo tuuuu...hatutaki mchezo
 
RVP sasa anajua yuko kwenye the right team...arsenal were unbeaten in 2005 tukawachapa....sasa hivi anajua kua alichagua timu ya maana..angeenda man city angechemsha....this is man utd and WE R THE BEST
 
mi bado na imani tutashinda gemu ya marudiano hapo old trashford maana takwimu zinaonesha tumefungwa hii inayokuja lazima man akae utake usitake we are champion..
Hizo takwimu kabla ya game zilikuwa zinasema hamjafungwa hapo nyumbani tangu 2010,sasa hivi zinasemaje.Nyie bado ni watoto kwetu
 
RVP sasa anajua yuko kwenye the right team...arsenal were unbeaten in 2005 tukawachapa....sasa hivi anajua kua alichagua timu ya maana..angeenda man city angechemsha....this is man utd and WE R THE BEST

man u wamevaa mlegezo,mbele safi nyuma aibu,ngoja mkutane na akina iniesta,watauvuta mlegezo wote chini..kwi..kwi..kwii!
 
mi bado na imani tutashinda gemu ya marudiano hapo old trashford maana takwimu zinaonesha tumefungwa hii inayokuja lazima man akae utake usitake we are champion..
Hizo ndoto za abunuasi, kwani ubingwa unapatikana kwa kuifunga Man Utd tu? Msimu huu mshakalishwa chini
 
asante timu yangu manchester united kwa kunipa raha!nilibanwa ktk umc sikucheki game lakini matokeo yamenipa raha
 
kwa sababu ni wapinzani wetu wa jadi..

Wapinzani wa jadi toka lini? Kwani kuna mashindano au record yoyote tunayogombania na nyinyi? Kwa kumbukumbu zangu tumewafunga mechi nyingi sana kiasi kwamba hamfai kujiita wapinzania wa utd nyi its just a noisy neighbors tu
 
Mtoto mbaya huyu, kwenye mechi ya Newcstle alifanya mbaya na leo karudia tena
 
The Big match in the UK huwa ni kati ya ManU Vs Liverpool......na ndio hao wapinzani wa jadi........huwezi sema Simba watani wa jadi ni Nyota Nyekundu........
 
United have now conceded 25 Premier League goals this season - already more than they conceded in the whole of 2007-08 (22) and 2008-09 (24).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…