Manchester United (Red Devils) | Special Thread

What a shit perfomance??

Are we going foward,stacking,or we are moving backward??..hatueleweki kabisa

Hii timu imejaa ujinga ujinga mwingi sana..

Kwenda kucheza europa msimu ujao tutashindwa mchana kweupe kabisa..

Ole anaona wachezaji wanacheza ushubwada,kenyewe kamekunja nne kanasugua tu magoti..Fuc.k
 
Sisi kama mashabiki wa Man U kwa sauti ya pamoja tunasema tumeridhika sana na kiwango cha Martial tunaomba kocha aendelee kumuacha hapohapo tena ikiwezekana awekwe full time.

Pia kwa kauli ya pamoja tunasikitishwa sana na unyanyapaa anaofanyiwa martial na maforward wengine hawampi mpira kabisa hatujaona Rashford akitoa mpira kwa Mkuu wetu huyu

Hivyo basi Tunaomba uongozi wa Team uzingatie ombi hili ambalo tunaamini kabisa ni strategic objective ya Kocha wetu Ole Gunnar Solskjaer

Cc: Man U Fans
Friends of Man U

Aione: Mourinho Jozee
 
Fred shida yake nini??..tunataka achezeje??
 
Mechi ambayo unatakiwa ushinde unazipoteza kizembe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…