Man u wampe Ancelotti timu pamoja na pesa ya kutosha kusajili wachezaji atakao wahitaji. Hii experiment ya kutumia watoto imefeli kabisa na Ole sio kocha wa level ya team yenu ,,arudi kwao ureno akapambane na akina Malmo.

Nikaendelea kukazia palepale Ole Soksi hafikishi Christmas akiwa Manager wa United na akicheza vibaya hizi mechi 3 Aston villa, Tottenham, Manchester city wataondoka na kichwa chake.